picha na habari: mwanajeshi achezea kichapo toka kwa traffic police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

picha na habari: mwanajeshi achezea kichapo toka kwa traffic police

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Money Stunna, Nov 5, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,106
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160


  [​IMG]


  [​IMG]
  MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kiktuo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao
   
 2. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 466
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  huyo mwanajeshi atakuwa bado yupo kwenye mafunzo! huenda likawa nili mtoto wa brigedia au captain ambaye amezoea kutafuniwa!!
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,106
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kila siku traffic police ndio wanapigwa naona wameona warevenge
   
 4. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mjeda mwenyewe mwili wa sambusa. traffic bausa asingeweza fanya lolote, pole yake
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,907
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Maskini, mjeda amekunjwa hivyo!!!
   
 6. s

  sawabho JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,451
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Anatakiwa kukimbia haraka kwenda kambini kuwaita wenzake.
   
 7. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #7
  Nov 5, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,512
  Likes Received: 1,996
  Trophy Points: 280
  kumbe traffic nao wanapiga ee!
   
 8. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wajeda huwa wana visasi sana..... Wasipo-revenge sijui.....
   
 9. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,441
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha..Naona huyo ni Mwanajeshi wa watoto..

  All in all hawa jamaa wanapaswa kuheshimiana mipaka ya kazi yao.. Nadhani kuna njia muafaka kabisa za kuchukua pindi kundi moja linapojicikia kunyanyapaliwa na jingine.. Haya mambo ya kukunjana hadharani yanaleta picha mbaya na uoga kwa raia.. Inaonyesha Majeshi yetu hayana nidhamu hata kidogo..
   
 10. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mjeda mguu pande? sheria ichukeu mkondo wake
   
 11. serio

  serio JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,763
  Likes Received: 926
  Trophy Points: 280
  that guy wont just swallow this, lazima atarudi na wenzake ku revenge
   
 12. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 825
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kama kawaida yao wakiudhiwa na raia walipa kodi ambao hawana silaha wala mafunzo ya kijeshi baada ya kuwachokoza wanaenda kambini kujikusanya na kuja kutoa mkong'oto kwa kutumia magari na vifaa vingine vya walipa kodi! wananikera kweli kweli.
   
 13. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,194
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Dhulma inapozidi wadhulumaji huanza kudhulumiana wenyewe kwa wenyewe.......yetu machoooo!!!!!!!!!!
   
 14. piper

  piper JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kichapo watakachopokea nawahurumia, maana wajeda bana bora wamtendee mtu but wakitendewa wao kisasi nje nje, so wajiandae
   
 15. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  subirini msiba wa traffic Moshi
   
 16. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Mipaka ya kazi ni muhimu iheshimike. Traffic wapo kazini sasa kwa nini huy mjeda aingilie kati???


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,794
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  mjeda ni nini?
   
 18. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapana! Ugomvi ili wowote ili uanze unahitaji MAJUHA WA PANDE MBILI

   
 19. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 825
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hueleweki kwani migogoro mingi haisababishwi na majuha tu kama unavyofikiria hata werevu sana wapo pia!!!!!!!!!!!
   
 20. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,309
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Mlioko Moshi endeleeni kufuatilia!

  Hawa jamaa lazima warudi! Kama siyo gari zima basi hata 20 tu. Nawahurumia traffic wa Moshi maana watapigwa hata wale wasiohusika! Kichapo kitaanzia njiani yaani yeyote atakayekutana na hao jamaa amevaa nguo nyeupe lazima achezee kichapo. Salama yao huyo Mjeshi awe ni wa kambi ya mbali na Moshi, kwamba alikuwa anapita tu hapo Moshi.
   
Loading...