Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Tujadili ni mambo gani ya msingi yanatakiwa yawepo au yasiwepo kwenye katiba mpya?
Mr. creative mwanangu acha utoto. Mawazo unayopaswa kutoa si yetu bali yako. Kila mtu ana jinsi anavyotaka katiba mpya iwe. Hapa si suala la nioe nani au nisioe. Kwani tukuchangie ili uchangie huna ubongo na kama unao utautumia kwa kazi gani--kuomba mawazo yetu halafu uyaite yako? Think more a little bit my child. Give it a try.