Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,582
- 28,734
Muheshimiwa Nape Nnauye amelalamikia mitandao ya kijamii na kudai CHADEMA ndio inawafundisha vijana kufanya siasa za matusi katika mitandao.
"Kuna wakati natamani kushiriki mijadala pamoja na wale ninaoamini kuwa ni vijana wenzangu ambao wengi wanapatikana katika hizi social medias.,lakini namna ya mijadala inavyoendeshwa,lugha zinazotumika hakika si za kistaharabu na hazina heshima.
Mijadala mingi hailengi kufikia muafaka na maelewano yaliyojaa ufafanuzi wa hoja na mifano badala yake watu hutukanana, hukejeliana na kudharauliana.,haya yananivunja moyo.,najaribu kujiuliza kuwa hivi haya ndio matunda ya upinzani katika nchi hii ya kijamaa iliyojaa heshima na utu..? hivi ni kweli hakuna wenye uwezo katika wapinzani wa kuhoji kwa hoja na kuyakinisha udadisi..?
Ni jambo baya na baya kuliko ubaya wote ambao upinzani mpya chini ya chadema umekuja nao.,kuwatuma vijana kutukana katika mitandao.,tumekuwa na upinzani kwa takriban miaka ishirini lakin hatukuyaona haya isipokuwa baada ya kuinuka kwa chadema.,hili linanishawishi kuamini kuwa wamekuja nalo wao.,nasikiliza kauli za viongozi wao waandamizi wakiwa hata kwenye bunge tukufu la jamhuri,napata hisia na imani kuwa haya yanayofanyika humu kwenye social medias yanatokana na wao moja kwa moja." source:His facebook