echuma
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 311
- 80
Jana nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari nikamsikia Prof. Anasema serikali inatakiwa kuingilia kati suala la waisilamu iongee na maimamu na wote wanaohusika na migogoro waitatue na kuhusu Ponda yeye kaona anahaki ya kupewa dhamana.
Je hiyo ni sawa? Serikali kuja kutatua migogoro ya kidini na kuwasuruhisha wakati sheria zipo? Kuhusu ponda kuzuiwa kwake mm najua ni sababu DP anaendelea kumhoji na wanajaribu kutumia busara sababu akirudi mtaani siku ya kusikilizwa kesi yake itakuwa ni vurugu.
Kilichonishangaza ni kwamba alichokisema ni kimeandikwa inamaanisha ndio maneno ya (mgombea urais nenda rudi) yaliyochambuliwa na kuhakikiwa yanafaa kwa media kweli?
Atatatua vipi huo mgogoro ilhali ameshaonyesha udhaifu mwanzoni
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums