Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mhe Aliko Kibona Ileje amezuia maendeleo ya mradi wa kuweka umeme Katika Zahanati ya Kijiji cha Ikumbilo .Kisa michango imehasishwa na Chadema: HIVI MBUNGE WA ILEJE ANAHITAJI TUANDAMANE...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni katika mkutano wa Baraza la Mawaziri la Uturuki katika makazi ya Waziri Mkuu,Tayip Eldowan. Mawaziri wawili walitishiana bastola kwa kufyatua kabisa. Walikuwa wakipondana kwa hoja kikaoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namsikiliza Wilson Mkama akizungumzia tuhuma za rushwa CCM.....kipindi cha Adam Simbeye TBC....kiingereza chake duh....nomenclature, parody,clux, there is corruption, bribe and graft...which...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
How animals hold elections – democracy isn’t an exclusive human social trait Published on Mon, Nov 5, 2012 by Tibi Puiu Post filled in: Animals...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
:A S cry: Huwezi kuamini mishahara ya serikali ilishaingizwa NMB toka wiki moja iliyopita lakini NBC kwa kujiamini sana hawajaingiza hizo pesa mpaka sasa ukizingitia serikali yenyewe inachelewesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, TANESCO wanatumia hela nyingi kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba ukilipia huduma ya kuunganishiwa umeme, basi utaipata ndani ya wiki mbili. Huu ni uongo uliokomaa kwani hakuna kitu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama Cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha kinyama alichofanyiwa Sheikh Fadhili Soraga cha kumwagiwa tindikali sehemu ya uso na kifuani. Sheikh Soraga ni mtu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WanaJF wanaishi maeneo yote ya kuelekea bagamoyo watakubaliana na mimi ninachokisema sasa hivi. Hiki kitu kimenichukiza maana ni unyonyaji wa hali ya juu. Muda wa Usiku kuanzia saa 2 Malori ya...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Baada ya miaka mingi ya kulishwa 'viporo'vya habari,magazeti ya kampuni ya Mwananchi ya tarehe ya leo yameonekana live alfajili katika mitaa ya Bukoba.Bado nadadisi njia iliyotumika kuyafikisha...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mji wa Moshi ulioko katika mkoa wa Kilimanjaro Kaskazini mwa Afrika unasifika kwa usafi. Waliotembelea mji huo wanatuhadithia kwamba, mji huo ni msafi licha ya udogo wake na bustani zake zina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mchango wenu wana JF kwa hili la mtu kuanza kuhubiri neno la Mungu katika daladala. Kuna jamaa mmoja aliyekuwa mevaa suti aliingia kwenye daladala na kuanza kuhubiri neno la Mungu kwa sauti...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Serika hutoa vibali vya ajira mwezi October mwanzoni kila mwaka, mbona mwaka huu umepita bila kutoka kulikoni? au pesa hakuna?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimesoma mahali kuna sheikh kamwagiwa Tindikali huko Zanziberi alikuwa anafanya mazoezi,kuna mwana Jf yeyote mwenye insight story?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna umuhimu wa kurusha habari za bunge live online, Je zipo au kunautaratibu unaweza kuwezesha TV mbalimbali zikapatikana online?? Walio karibu na stations za TV na bunge watusaidia kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Busara zisipotumika kuwa bembeleza vijana waliofungua barabara ya Tunduma-Dar es salaam, kwa madai ya kuwa gali za serikali tu zinazouziwa mafuta katika kituo pekee kinachouza mafuta katika jiji...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo ni siku ambayo Wamarekani wanaanza kupiga kura kumchagua raisi ambaye ataongoza taifa hilo lenye nguvu duniani kisiasa na kiuchumi kwa kipindi kingine cha miaka 4,swali ni je,kati ya Mitt...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ivi njie REDDS ndo zawadi gani ya kumpa MISS TANZANIA eti NOAH, kwakweli zawadi haijjafanana na hadhi ya mashindano na gharama ya kiingilio Tsh laki moja< mnashindwa kuona wezenu walitoa zawadi ya...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
:confused3:Asubuhi ya leo napita pale samaki mbezi beach nimeona mtu yuko vipande vipande hatazamiki akiwa ameshapoteza uhai watu wakimwangalia kwa mbali maana hata kumwangalia ni inahitaji moyo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi utaratibu wa kuingia Law school ni upi? maana tunaona mwenzetu mmoja mtoto wa kigogo (Six) tumemaliza naye Bachelor of Law Tumaini university Iringa, hata kabla majibu hayajatoka tayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By Dickson Ng`hily 6th November 2012 Email Print Comments Janeth Mbene Finance and Economic Affairs deputy minister Janeth Mbene has refuted claims that the government of...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…