meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
baada ya kazi ya kuwakamata''wauaji' wa kamanda barlow natumaini speed iliyotumika kuwakamata wauaji hawa itatumika pia kuwatia hatiani na hatimaye speed hiyo hiyo itatumika kutekeleza adhabu ya kunyongwa.