Jadili ninikifanyike ili ccm isambaratike

Jadili ninikifanyike ili ccm isambaratike

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
409
Reaction score
135
Wanabodi,
Vyama vikongwe afrika vingi vilishasambaratika mfano nzuri KANU.
Kwa Tanzania huu ni mwaka wa 51 CCM bado ni chama ambacho hakijasambaratika. Unaweza kusema kina matawi kuanzia ngazi ya shina au nyumba kumi, rasilimali za kukiendesha au ni chama chenye dola. Vyovyote unavyoweza kukitetea utajikuta kwenye lindi la fikra zinazokinzana nawe vilivyosambaratika vilikuwa bora na sababu uwezo wa kuendelea kuliko ccm iliyomeguka vipande vipande kama vile ccm ya wasionacho, ccm ya wenye uwezo, ccm ya familia na viongozi, ccm mtandao, ccm ya wazee, ccm ya wasaliti, ccm asilia ya wakulima na wafanyakazi na ccm bendera fuata upepo maslahi mbele au ccm mkono mtupu haulambwi na ccm mwaga pesa upate kula bado CCM imeendelea kuwepo pamoja na hayo.
Huku vyama vingine vikisambaratika kirahisi kama moto wa karatasi bila migawanyiko ya kuanzisha chama ndani ya chama kama nilivyoeleza.
Jamii forums kisima cha mjadala Wana jamvi hebu tujadili jins ya kuisambaratisha siku nyingine tutajadili kuihuisha kuimarisha.
 
Ndugu yangu wazo lako ni zuri tatizo linalochelewesha mabadiliko katika nchi yetu, walio wengi ni wajinga kuliko wasomi. Ukitaka kuthibitisha hilo angalia % kubwa ya wataka mabadiliko ni kizazi kipya. Hivyo sasa hivi kuna vita kali kati ya walioshika hatamu WAJINGA (wengi) na wapenda mabadiliko (wasomi) ambao bado ni wachache lakini kubwa zaidi hawajaunganisha nguvu yao pamoja.
 
Ok ni sababu za wao kuendelea nini kifanyike isambaratike kuchagua mabadiliko kwani hatuchagui
 
Back
Top Bottom