Watu wengi huogopa wanaposikia kifo na kusikitika,lakini cha kushangaza ni kuwa kila nafsi itaonja mauti.maisha duniani ni mafupi,unaweza ukawa na mali nyingi hadi akaunti uswisi ukawa nazo lakini...
Imekuwa kawaida kwa chama cha mapinduzi kutengeneza hila za wazi pale inapopoteza jimbo au halmashauri nchini.Wamefanya hivyo Arusha katika uchaguzi wa Meya na kusababisha vurugu zilizopelekea...
Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati...
Bei ya dawa MSETO ambayo kwa muda sasa imekuwa ikitumika sana na watu wengi hasa wa kikao cha chini Kuna tetesi kwamba kwenda ikapanda wakati wowote kutoka Tsh. 600/- mpaka 4000/- kwa bei ya...
Naskitika sana television ya Taifa TBC kwenye dstv mara mnapotea mara mnarudi nashindwa kuelewa kweli mmejipanga kurusha matangazo yenu kimataifa ama bado mpo kwenye majaribio? Kasheshe ni pale...
Ninavyo ona sasa kila tenda hapa nchini anapewa China,je wazungu hatuwahitaji tena? na nikweli wachina ni marafiki wakweli ambao hawawezi kututenda vibayaa?
eofrey Nyang'oro, Iringa
MAPADRI wawili wa Kanisa Katoliki Parokia ya Isimani, Jimbo la Iringa, wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, kutokana na watu wanaodhaniwa...
Poleni na shughuli Wana jamiiforum nlikuwa naomba kujulishwa,nlikuwa najishauri nifungue a/c kwenye benki gan,nimeangalia web ya nbc,crdb ,crdb kuna scholar a/c na nbc cjajua vizuri,nlikuwa...
Leo tumemzika Daktari wetu wa upasuaji wa watoto wachanga na wadogo Dr. Enock Sayi pale makaburi ya kinondoni!. Daktari pekee aliyejitolea kuokoa maisha ya watoto wetu wenye matatizo ya...
Handaki kubwa limegunduliwa katika eneo la KITANZINI MKOANI IRINGA MUDA HUU WAKATI KAMPUNI YA UCHIMBAJ WA BARABARA YA JR IKIENDELEA NA UJENZ SOURCE ITV BREAKING NEWZ MUDA HUU
Mh. Sherif makamu wa 2 wa rais na mwenyekit wa chama cha CUF kesho watakuwa na mkutano wa hadhara. Gari leoye nembo za cuf limeanza kutangaza tangu jana. Hatujui dhumni la mkutano ila mengi...
President Barack Obama repeated his call Saturday for Congress to extend the Bush-era middle-class tax cut without delay, as he and congressional leaders work on a larger agreement to avert a...
Hivi inaingia akilini kuambiwa dawa ya kuuwa wadudu HIT iliyotumika zaidi ya mwaka sasa na inapatikana Tanzania nzima kutoka Musoma hadi Mtwara, kutoka Kigoma hadi Dsm hadi viongozi wanaosimamia...
Wanwa jf wenzangu napenda kuwakaribisha nyote katika functiion ya uzinduzi wa album ya kwaya yetu ambayo itafanyika tarehe 25/11/2012 pale kanisa la Kijitonyama TAG ni sayansi unaelekea kwa njia...
ONLY nine out of 193 UN member states own Twitter accounts bearing their country name, and only three of those accounts have been officially verified by the micro-blogging site, according to a new...
imeripotiwa na bbc waziri ajiuzuru huko misri baada ya treni kugongana na bas lililobeba watoto wa shule na kusababisha vifo vya watoto hao!
hapa kwetu kamwe huwezi kusikia kitu kama hicho, nini...
Sijui hawa watu wanawaza kwa kutumia akili gani, na cha kushangaza eti mkuruguenzi ni Profesa!!!
Wanaposema kwamba wanaanzisha utaratibu wa mtu kuweza kuhama na namba yake ya simu kutoka kampuni...
As of April 2010, Bill Gates had donated over $36,854,000,000 in his lifetime, which is more than half of his current net worth of $61 billion.
Bill Gates
biography.com
William...
Current discussions in Dar es Salaam with Tanzania are simply aimed at reaffirming Malawi's position that it will not move an inch
Malawi is not ready to relinquish any part of its lake border...
Ni kisa ambacho kimemtokea jamaa yangu wa karibu...
KUWENI MAKINI, INATISHA
Hii imenitokea siku ya Ijumaa tarehe 2/11/2012 majira ya saa tano hivi.
Nikiwa ofisini nilishangaa kuona...