uko wapi uwajibikaji Tanzania


Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
1,684
Points
1,225
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
1,684 1,225
imeripotiwa na bbc waziri ajiuzuru huko misri baada ya treni kugongana na bas lililobeba watoto wa shule na kusababisha vifo vya watoto hao!
hapa kwetu kamwe huwezi kusikia kitu kama hicho, nini kifanyike ili watawala wetu wawe wanawajibika?
naomba kuwasilisha
 
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Messages
9,381
Points
0
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2007
9,381 0
Uwajibikaji wa Viongozi wa Tanzania ni ubishi na kung'ang'nia madaraka.....
 

Forum statistics

Threads 1,296,016
Members 498,494
Posts 31,230,843
Top