Maaskofu Pentekoste waiomba Serikali kulifuta Kanisa la Askofu Gwajima

Modibo

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
425
700
gwajima.jpg

Ushirika wa wachungaji wa Kanisa la Kipentekoste Tanzania (PPFT)umeiomba serikali ifute usajili wa Kanisa la Ufufuo wa uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kukiuka maadili ya kanisa kwa kutoa kauli za uchochezi na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Mwenyekiti wa ushirika wa wachungaji hao Askofu Pius Ikongo mwenye makao yake katika Halmashauri ya wilaya ya Mwanga amesema,kauli hizo zinaweza kubadili fikra za wananchi na kuzaa chuki dhidi ya serikali yao na kusababisha vurugu na uvunjifu wa amani.

Askofu Ikongo ametoa tamko hilo katika taarifa yake kwa vyombo vya habari na kueleza kuwa kitendo kilichofanywa na Askofu Gwajima kinapaswa kulaaniwa na wapenda amani wote waliopo ndani na nje ya nchi.

Mwenyekiti huyo wa ppft amesema, kosa kubwa ambalo limewaumiza wachungaji wa Kipentekoste ni kitendo cha Askofu Gwajima kutumia Kanisa kama jukwa la kisiasa kwa kuleta uchonganishi kati ya serikali ya awamu ya nne na iliyopo madarakani.

Chanzo: Mpekuzi
 
PPFT :Gwajima afutiwe usajili kwa kutoa kauli za uchochezi.

Askofu gani huyo naye uaskofu kampa nani? Ni hao hao self proclaimed bishops
 
Injili ni popote sio lazima kanisani xo wakifuta kanisa hawajasaidia lolote.

Anaweza kuhudumu ktk makanisa mengine au ktk mikutano ya injili.

Yupo wapi Munishi aliyesema CCM imezeeka, itoke madarakani, sera zake zimeharibu hii nchi. Anahubiri Kenya kama kawaida.

Zaidi Gwajima ni wa kimataifa xo hata akifungiwa Bongo land atahamia mataifani kuhubiri.
 
Hivi ni kwanini hii serikali haipendi watu kutoa mawazo yao??ni haki kikatiba mtu kutoka maoni yake..?mi nadhani ipo haja ya mahakama kutoa ufafanuzi wa neno "uchochezi"kwa maana haiwezekani kila kitu sikuhizi ni uchochezi tu..na hivi huu uchochezi kwa miaka yote 50/ya Uhuru ndo umeanza kujitokeza awamu hii..?mi nadhani ifikie sehemu wa declare kwamba we Tanzanians should shutup and leave the government alone.!?kwanini hawataki tuhoji?
 
Hivi Ikongo ni mtu wa kumjadili hapa, yeye kama nani mpaka aseme Gwajima afutiwe usajili!! Kikao cha hilo baraza lao kilikaa lini?? Au Ikongo amekurupuka tu kutoka Mwanga!!

Mimi nasupport maneno ya Gwajima kwa asilimia zote, wala sioni sababu ya msingi mijamaa ya Lumumba kutokwa povu na kujaza post humu JF!! Tunajua Gwajima kasanua dili lenu, mwisho wa zile buku saba saba!! Gwajima mimi namkubali sana na Jumapili hii lazima niende kanisani kwake nimsikie akimtolea tamko Ikongo! Ha ha ha viva Gwajima
 
image.jpeg

Ushirika wa wachungaji wa Kanisa la Kipentekoste Tanzania (PPFT)umeiomba serikali ifute usajili wa Kanisa la Ufufuo wa uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kukiuka maadili ya kanisa kwa kutoa kauli za uchochezi na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Mwenyekiti wa ushirika wa wachungaji hao Askofu Pius Ikongo mwenye makao yake katika Halmashauri ya wilaya ya Mwanga amesema,kauli hizo zinaweza kubadili fikra za wananchi na kuzaa chuki dhidi ya serikali yao na kusababisha vurugu na uvunjifu wa amani.

Askofu Ikongo ametoa tamko hilo katika taarifa yake kwa vyombo vya habari na kueleza kuwa kitendo kilichofanywa na Askofu Gwajima kinapaswa kulaaniwa na wapenda amani wote waliopo ndani na nje ya nchi.
Mwenyekiti huyo wa PPFT amesema, kosa kubwa ambalo limewaumiza wachungaji wa Kipentekoste ni kitendo cha Askofu Gwajima kutumia Kanisa kama jukwa la kisiasa kwa kuleta uchonganishi kati ya serikali ya awamu ya nne na iliyopo madarakani.

Askofu huyo aliyejinasibu kuongea kwa niaba ya wenzake wa Pentekoste ameiomba Serikali kupitia Waizara ya Mambo ya ndani,kulifungia Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima haraka iwezekanavyo ili kuokoa amani ya nchi na wananchi wake
 
Hiyo mbona simple wakilifuta kanisa lake anahama nchi. watu wengi wanamuhitaji. sio huku tanzania wanamnyanyasa sana. na huko atakoenda ataenda kuendeleza harakati mara mbili zaidi ya hapo. na atakapo hakikisha nchi imekombolewa kutoka mikononi mwa CCM. ataludi tanzania na atapokelewa kama shujaa.
 
View attachment 357344

Ushirika wa wachungaji wa Kanisa la Kipentekoste Tanzania (PPFT)umeiomba serikali ifute usajili wa Kanisa la Ufufuo wa uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kukiuka maadili ya kanisa kwa kutoa kauli za uchochezi na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Mwenyekiti wa ushirika wa wachungaji hao Askofu Pius Ikongo mwenye makao yake katika Halmashauri ya wilaya ya Mwanga amesema,kauli hizo zinaweza kubadili fikra za wananchi na kuzaa chuki dhidi ya serikali yao na kusababisha vurugu na uvunjifu wa amani.

Askofu Ikongo ametoa tamko hilo katika taarifa yake kwa vyombo vya habari na kueleza kuwa kitendo kilichofanywa na Askofu Gwajima kinapaswa kulaaniwa na wapenda amani wote waliopo ndani na nje ya nchi.
Mwenyekiti huyo wa PPFT amesema, kosa kubwa ambalo limewaumiza wachungaji wa Kipentekoste ni kitendo cha Askofu Gwajima kutumia Kanisa kama jukwa la kisiasa kwa kuleta uchonganishi kati ya serikali ya awamu ya nne na iliyopo madarakani.

Askofu huyo aliyejinasibu kuongea kwa niaba ya wenzake wa Pentekoste ameiomba Serikali kupitia Waizara ya Mambo ya ndani,kulifungia Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima haraka iwezekanavyo ili kuokoa amani ya nchi na wananchi wake
Pius Ikongo ni tapeli kama matapeli wengine. Jina lake la kanisa linekaa kama jumuiya ya kipentekoste.

Huo ni msimamo wake binafsi, zaidi kutafuta kiki ya serikali katika hili.
 
Huyu askofu Hajaisikilza hiyo audio vizuri !
Pili Huyo Gwajima ameyasemea kanisani kwake

TATU :
Alisema anaongea Na waumini wake kama Baba wa Familia .
Kama ambavyo sisi walutheri au Wakatoliki tunavyoweza tunvyosomewa waraka wa Kichungaji au wa Kanisa .
NNE Kwa maoni yangu sijaona alippochoaganisha zaidi ya kueleza anayoamini, !
NajiuliA wsle walokewepa kodi ya mkomtena
 
Back
Top Bottom