Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya siku 21 tangu kusitishwa kwa huduma ya mabasi yaendayo haraka katika barabara ya Mbagala kuelekea Gerezani na Kivukoni kufuatia uharibifu uliotokea wakati wa maandamano ya Oktoba 29...
0 Reactions
1 Replies
182 Views
Washtakiwa 93 wa kesi za uharibifu wa mali, kufanya Vurugu na unyang'anyi wa kutumia silaha leo wamefikishwa tena katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Mwanza, huku upande wa Jamhuri ukitakiwa...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Tarehe 4 Septemba 2024, kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Africa (FOCAC) uliofanyika mjini Beijing, China, makubaliano kati ya China, Tanzania na Zambia kuhusu...
1 Reactions
1 Replies
226 Views
Rejea kwa umakini mno Uteuzi wa Nguli wa Habari jana ambaye nina uhakika hata Wewe pia unakubaliana na CV yake, Experience yake na hasa Utendaji wake katika Tasnia. Kuna mawili utemwe rasmi kwa...
2 Reactions
5 Replies
402 Views
Kwanza naomba kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye uhai wetu kwa kutuweka tuwe hai hadi sasa. Pili nipongeze jitihanda mbalimbali za serikali, asasi za kirai, taasisi za kidini...
1 Reactions
3 Replies
236 Views
Ndugu zangu Watanganyika, Tunaumia. Taifa letu linapitia maumivu makubwa, na katika wakati huu wa majonzi lazima tukumbuke jambo moja muhimu: Machozi hayana dini. Waliouawa, walioteswa...
1 Reactions
3 Replies
207 Views
Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu...
2 Reactions
8 Replies
283 Views
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Mwenye taarifa nzuri ya Nini kinaendelea Tanga-kigurusimba, jimboni kwa Aweso atujuze. Nimepata taarifa tangu Jana usiku Kuna mapigano makali kati ya wafugaji na wakulima. Vita ya mikuki, mapanga...
1 Reactions
0 Replies
181 Views
Salam Aleykum, Tuwe Pole sote kwa matatizo na misiba Iliyotukuta baina ya 29 october na 3 Nov. Moja kwa Moja kwenye Mada.. Nchi Yetu kabla na baada ya maandamano kuna uzanzibari na utanganyika...
4 Reactions
18 Replies
424 Views
Aanaandika Nelson Mwambashi Mimi ni miongoni mwa watu waoga , sawa ila natamani kuanzia mwanzo kabisa. Changamoto zilizozalishwa na siasa zishughulikiwe kisiasa. Kwanini si muamini wa...
0 Reactions
36 Replies
990 Views
‎Treni za SGR zilizokuwa zikisafiri jioni ya leo kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma na Dodoma kwenda Dar es Salaam zimepata hitilafu na kulazimika kusimama njiani, hali iliyosababisha sintofahamu...
2 Reactions
4 Replies
577 Views
Hii imenitokea mwenyewe kwenye Hospitali ya 5aifa Muhimbili Tawi la Mloganzila mara mbili. Mara ya kwanza sikuujua mchezo. Mimi najilipia mwenyewe, yaani situmii bima kutibiwa. Nilikuwa na uvimbe...
17 Reactions
76 Replies
3K Views
Baada ya matokeo kutangazwa, tofauti na ilivyozoeleka walioshinda huwa, wanasherehekea ushindi wao, tena wa 97.6% katika historia ya nchi yetu ni ushindi mkubwa kuwahi kutokea tangu tuanze kupiga...
0 Reactions
5 Replies
328 Views
Sikiliza hizo clip kutoka Tiktok Zisikilize kwa mpangilio wa kinamba ndio utaelewa madudu ambayo CCM wanavyolibagaza taifa hili sikiliza hizo clip kutoka ticktock zisikilize kwa mpangilio...
1 Reactions
15 Replies
700 Views
. Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa. Matusi, kejeli na...
1 Reactions
3 Replies
184 Views
Nimesikitishwa sana na kauli za mfululizo za Magenge ya Kijangili ya wanaojiita mashekhe au wawakilishi wa Kiislam..hiyo njia waliochagua watambue si rahisi kama kukunja miguu na kula wali wa...
5 Reactions
24 Replies
450 Views
Bila dini za kigeni na kishenzi tusingetawaliwa wala kupelekwa utumwani. Bila dini hizi, tusingeumizwa na kuawa hata kuuana na kuchukiana. Bila dini hizi, tuzingenyonywa na kuibiwa hadi majina...
2 Reactions
4 Replies
261 Views
Wew si ndie ulikuwa waziri wa mambo ya ndani, uliekua na dhamana juu ya ulinzi wa wananchi na utendaji kazi wa vyombo vya usalama nchini?? Sasa najua unajua mengi kuliko MTanganyika yeyote yule...
0 Reactions
7 Replies
327 Views
CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF wapinga Tume ya uchunguzi aliyoiteua Rais Samia Vyama vya CHADEMA, CUF na ACT-Wazalendo vimepinga Tume ya Uchunguzi iliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Back
Top Bottom