KUJITOA jF

KUJITOA jF

SWEET GIRL

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
520
Reaction score
377
heshima mbele,
jaman nimejiuliza swali leo je kama nikitaka kujitoa Jamii Forum nafanyeje??au ndo ukishajiunga imetoka hiyo
 
Uliyoingia ulimuuliza nani? Ulivoingia potea hivohivo. Hukuwa na sababu ya kutuaga...

Kapumzike kwa amani.
umemaliza kila kitu mkuu....asiendelee kujaza saver....
 
Kama hako ka ID kameshaharibu unaogopa kuendelea nako we nenda rudi na nyingine kinyakinya...pia inaruhusiwa
 
Kwasababu wewe ni SWEET GIRL unaweza bahatika kujibiwa kistaarabu
ila ingekuwa .... sijui ingekuwaje
 
Last edited by a moderator:
Unataka kujitoa na nani? I'm just kidding!
Ukiingia umeingia na ukitaka kutoka ...mmhhhhmm.... kazi kwako!!!
 
du watu wanamahasira!..acha kabisa.nasikia ukiona mtu anahasira whether mwanaume au mwanamke ujue hapati ile kitu tehe tehe tehe
 
JF ni kama freemason ukishaingia hutoki tena hadi kifo kukutenganishe nasi
 
Kwa hiyo kitalolo we ni freemason? Kijakazi wa Andy Chande nyumbani kwake sio?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwanin utoke wakati wengne tunasema tulikuwa wapi cku zote.mhhh! kuna jambo!.
 
Kungekuwa na utaratibu wa kuondoa member ambao hawayakuwa active kwa miezi kadhaa ilikupunguza kujaza saver.
 
JF ni kama wale jamaa waliong'ang'aniana kule Temeke. Kifo ndio kimewatenganisha. So sweti Girl hapa upo Temeke now.
 
Back
Top Bottom