Balozi za hizi nchi ziko maeneo gan ?

Balozi za hizi nchi ziko maeneo gan ?

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
133
Reaction score
27
naombeni mnijulishe balozi za hizi nchi ziko maeneo gan ? Netherlands, ireland , czech, taiwan na korea tafadhali
 
may be utembelee maeneo ya posta , ally hassan mwinyi road na masaki
 
Postal nishatembelea ile mitaa ina balozi nyng nyng na nimeulizia ht kwa walinz wa balozi za kule ila balozi za hz nchi hawajui zilipo
 
Netherlands wapo Umoja House mtaa wa Garden Evenue ule mtaa wenye PPF tower, ireland wapo mtaa wa Mirambo, czech na taiwani sidhani kama wana ubalozi Tanzania, koreawapo maeneo ya Masaki
 
korea masaki walikwisha kuhama..wako karibu na makao makuu ya Stanibic bank au jirani na nyumba ya mzee mengi IPP

SIJUI KUELEKEZA MIE!
 
korea masaki walikwisha kuhama..wako karibu na makao makuu ya Stanibic bank au jirani na nyumba ya mzee mengi
SIJUI KUELEKEZA MIE!
Makao makuu ya stanbink yako mitaa gan , au nipande gari za wapi nishukie wapi , labda tianzie hapo
 
Netherlands wapo Umoja House mtaa wa Garden Evenue ule mtaa wenye PPF tower, ireland wapo mtaa wa Mirambo, czech na taiwani sidhani kama wana ubalozi Tanzania, koreawapo maeneo ya Masaki
Thanx nimekupata , huo mirambo ndo ile mitaa ina pia balozi za norway ? Hapo umoja house napafahamu , nitaanza napo kesho
 
You are very correct mkuu Mirambo ndo yenye Ubalozi wa Norway
 
Makao makuu ya stanbink yako mitaa gan , au nipande gari za wapi nishukie wapi , labda tianzie hapo

Yapo kwenye junction ya kwenda Masaki, Kinondoni (Manyanya) na kuendelea Morocco kwakutumia barabara ya Ali Hassani Mwinyi. Ni baada ya daraja la salenda. Utaona Jengo kubwa zuri Mbele yako ukiwa kwenye mataa kama unatokea posta. Kama unatoka Mwenge panda gari za posta na shuka Salenda bridge (kituo kinaitwa hivyo) ingawa kipo kabla ya kuvuka daraja kisha rudi nyuma mpka kwenye mataa. Utaona jengo la Stanbic. Baada ya hapo utajua pa kuelekea mi sijui huo ubalozi upo wapi, ila kama ni kwa mengi panda na barabara ya kuelekea manyanya/Kinondoni. Mkono wa kushoto huwa kuna barozi. Angalia labla upo hapo.
 
ok thanx , nikiunganisha maelekezohaya na maelekezoya balozi zilipo naweza kufika
 
naombeni mnijulishe balozi za hizi nchi ziko maeneo gan ? Netherlands, ireland , czech, taiwan na korea tafadhali

Netherland UMOJA HOUSE karibu na international house gaden avenue na mirambo, Ireland toure drive karibu na golden tulip hotel, Tawain Tanzania haitambui tawain kama nchi na haina ubalozi tanzanian itakuwa nao Malawi. Korea Tunisia Road Kinondoni. Czech nenda Kenya
 
Panda daladala za M/nyamala Kivukoni au M/nyamala Stesheni mwambie konda akushushe Ubalozi kisha ulizia maeneo hayo utafika tu mkuu.
Makao makuu ya stanbink yako mitaa gan , au nipande gari za wapi nishukie wapi , labda tianzie hapo
 
Panda daladala za M/nyamala Kivukoni au M/nyamala Stesheni mwambie konda akushushe Ubalozi kisha ulizia maeneo hayo utafika tu mkuu.
thanx , nimeenda leo tyr, nilifika mpk stanbink then nikaanza kuuliza kuanzia hapo mpk nikafiika
 
Netherland UMOJA HOUSE karibu na international house gaden avenue na mirambo, Ireland toure drive karibu na golden tulip hotel, Tawain Tanzania haitambui tawain kama nchi na haina ubalozi tanzanian itakuwa nao Malawi. Korea Tunisia Road Kinondoni. Czech nenda Kenya
thanx, nertherlands nishaenda leo tho wameshindwa kunihudumia mpk j4 na kumbuka j4 ijayo ni xmass na inayokuja ni mwaka mpya so nitackilizia mpk j4 ile nyngne kbs ndo niende tena, ireland nitafata maelekezo yako niende kesho na korea nako nimeenda leo
 
Back
Top Bottom