Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,932
Siku chache zilizopita niliandika humu jamvini kusifia Pride FM ya Mtwara kwa jinsi wanavyotangaza.
Leo nakuja tena kuisifia Ebony FM ya Iringa kutokana na jinsi mada za matangazo yake yanavyoigusa jamii hususani na matatizo yetu yanayotukabili sasa hivi.
Nawatakia Ebony FM kila la heri na wadumu katika huduma hiyo ya kutupasha habari.