Jiji la arusha limelipuka baada mahakama ya rufaa kumrudishia lema ubunge jiji limelipuka kwa shangwe na nderemo huku wangine wakikimbilia kia na wengine wakikimbilia uwanja wa ndege kisongo...
Unaweza hisi ni movie
mabasi kadhaa ya mbeya na singida na mengine yaendayo dodoma yamejaa watu na yanaendelea kujaa watu
kuelekea arusha muda huu kama uko ubungo njoo huku uone wanavyokimbilia...
RISALA FUPI YA CCM 2015.
MAREHEMU CCM ALIZALIWA 05.02.1977. ENZI ZA UHAI WAKE, MAREHEMUALIJISHUGHURISHA NA KUUA MAZAO YA BIASHARA KAMA VILE, PAMBA, TUMBAKU, KAHAWA, KOROSHO , KATANI n.k. PIA...
Ni ukweli usiopingika kwamba kufungua kesi kupinga ushindi wa Lema kuliwaumiza wapenda mageuzi wengi nchini, lakini pia kumpotezea Lema muda wa kuwatumikia wananchi wa jimbo lake. Je waliotenda...
Hivi karibun chama tawala cha afrika kusin ANC kilifanya uchaguz ambao ulimrejesha madarakan rais jacob zuma ambae alishinda ktk uchaguz huo na naibu wake. hii nikinyume na vyama vya siasa vya...
''Mwenye masikio ya kusikia na asikie''
Wana JF unaweza kuusikiliza waraka huu kupitia link ambayo iko hapo chini.
'
ENDELEA NA SEHEMU YA PILI HAPO CHINI
''Any people anywhere, being...
Gari ya saibaba itokayo dar kwenda songea imepata ajali jana usiku saa tatu maeneo ya madaba katika kijiji cha mkongotema. Ianasemekana ni mwendo kasi ingawa mashuhuda wana sema ni kutokana na...
Wakuu nimepita huku Serengeti National Park nakutana na misafara ya Mkuu wa mkoa wa Mara, Kamanda wa Poilsi wa Mkoa wa Mara, na ni kwamba wanaenda kumpokea Raisi ambaye anawasili Bilila Lodge kwa...
Pamoja na kuelimika kwa watu sehemu yoyote duniani, bado naona vituko kwa binadamu ni part and parcel yake.
na hasahasa, hawa jamaa wa ngozi nyeupe, huwa muda mwingine ni kama hazijawatosha.
Huku...
Kama polisi wa nchi hii wanashangilia ushindi wa mbunge wa arusha mjini
godbless lema wewe ni nani shetwani uliekasirika kwa ajili yake mpaka ukakimbilia
mahakamani??
Shame on you ccm
Hapa Tanzania kwasasa kuna vituo vingi vya television vya binafsi na serikali lakini kutokana na kukosekana maadili ya uandishi vingine vimejeuka genge la ubaguzi kwa sababu wanazozijua ikiwemo...
Polisi Dar yaunda jopo la wapelelezi kuchunguza tuhuma za polisi kugawana Tsh.150m za tukio la ujambazi Kariakoo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Suleiman Kova (kushoto)...
Chama kikongwe cha siasa ktk bara la Africa ANC hivi karibun kilifanya uchaguz wake mkuu ambao ulimrejesha madarakan Rais Jacob Zuma uchaguz ambao ulifanyika kidemokrasia hasa kwan makao wake ndie...
Naomba kuwasilisha hoja kwenu kuwa kuna haja ya kufutwa kwa Mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) na Shirika la udhibiti wa ubora na viwango Tanzania (TBS) kwasababu sioni kazi zake. Taasisi hizi...
Wakati wanyarwanda wameambiwa akuna atakaeweza kuwasaidia zaidi ya wao wenyewe
wajitahidi kufanya kazi kwa biddii na kufika pale wanapotakiwa kufika leo nimecheka kuona
memo ya ikulu ati...
Hiv serikali hii kupitia kwa waziri wa elimu inadanganya umma kwa faida ya nani, Matokeo yaliotangazwa yanaonyesha ufaulu umeongezeka kwa asilimia 8.8 wakati kati ya hao wanaoonekana wamefaulu...
wakuu heshima kwenu,
tangu wakamatwe majambazi waliopora kariakoo juzi imekuwepo sintofahamu ya wapi zilipo pesa zilizo ibiwa wakati jambazi limekamatwa, mpaka ilipelekea jana tar 19 baadhi ya...
Hivi hizi kodi za majengo si usumbufu tu?. Kwani si tunalipia huduma zinazo ingia Majumbani kwetu? kama vile umeme na maji. Yaani sisi wadanganyika, bila shaka tunaiga somewhere. Yaani tungekua...
Ingawa wambea wengi wamejaribu kututisha kuwa leo ungekuwa mwisho wa dunia, nachukua nafasi hii kuwatakieni wana JF heri ya mwaka mpya. Nachukua nafasi hii pia kuwaombea wana JF maisha marefu...