Tusomen demokrasia toka Afrika Kusin

Tusomen demokrasia toka Afrika Kusin

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,171
Reaction score
3,087
Hivi karibun chama tawala cha afrika kusin ANC kilifanya uchaguz ambao ulimrejesha madarakan rais jacob zuma ambae alishinda ktk uchaguz huo na naibu wake. hii nikinyume na vyama vya siasa vya tanzania chadema imo ktk mzozo mkubwa na zito kabwe kosa? ni nia yake ya kutaka kugombea urais kupitia chama hicho. kama vile cuf ilivyo ingia ktk mgogoro na hatimae kukihama chama hicho pro. safar kwa kugombea uenyekit wa taifa wa chama hicho upande wa ccm ckuwah kuona mwenyekit wake kupingwa ktk uchaguz wa nafas ya unyekiti. acheni kuwafanya watanzania kuwa wajinga anzeni demokrasia ktk vyama vyenu kwanza
 
Back
Top Bottom