Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
Pamoja na kuelimika kwa watu sehemu yoyote duniani, bado naona vituko kwa binadamu ni part and parcel yake.
na hasahasa, hawa jamaa wa ngozi nyeupe, huwa muda mwingine ni kama hazijawatosha.
Huku Ufaransa ni kizungumkuti, China nako vivyo hivyo, Marekani na Uingereza nako kuna kashkash, kisa ati wanajipanga kujiokoa pindi dunia itakaposisha tarehe 21 dec mwaka huu, kwa mujibu wa kalenda ya Mayan.
kwa mantiki hiyo, siku ya leo haitakwisha, kwani ndo mwisho wa dunia. lakini ni sehemu moja tu dunia nzima ndo itasalimika, napo ni kijiji kimoja huko Ufaransa.
Jisomee mwenyewe hapa, lakini pia tukutane kesho kutwa kama vipi. (we'll still be there).