dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,171
- 3,087
Chama kikongwe cha siasa ktk bara la Africa ANC hivi karibun kilifanya uchaguz wake mkuu ambao ulimrejesha madarakan Rais Jacob Zuma uchaguz ambao ulifanyika kidemokrasia hasa kwan makao wake ndie aliekua mpinzan wake ktk uchaguz huo. Hinitofaut na hapa kwetu vyama vyetu vinapiga kelele vikitaka demokrasia ichukue mkondo wake wakat hawajui kwamba demokrasia huwanzia nyumban mifano ifuatayo inakazia hojayangu hii chama cha Chadema hv sasa kimo ktk mzozo na naibu katibu wake mkuu Chanzo cha tatizo ni msimo wake wakutaka kug6bea urais kupitia chama hicho Mfan mwengne cuf walivyo muundia zengwe prof safar nakumwiita pandikiz la ccm kisa kuchukua form ya kugombea uenyekt wa chama taifa! upand wa chama tawala cjawah kuona mwenyekit wa chama hiko kuwa na mpinzan!