Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,061
wakuu heshima kwenu,
tangu wakamatwe majambazi waliopora kariakoo juzi imekuwepo sintofahamu ya wapi zilipo pesa zilizo ibiwa wakati jambazi limekamatwa, mpaka ilipelekea jana tar 19 baadhi ya waandishi walienda kumhoji mwenye duka ambalo jambazi lilikimbilia kama jambazi liliacha pesa (source Itv news),
imeripotiwa leo na baadhi ya vyombo vya habari kuwa jambazi limekufa likiwa hospitali!
binafsi ningependa kujua nini kimemuua jambazi?
update
Polisi yaunda tume kuchunguza kama kweli polisi wenzao wamehusika na upotevu wa fedha zilizoporwa.