Mabasi ya Mbeya, Singida, Dodoma yaelekea Arusha na kundi la watu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,609
18,550
Unaweza hisi ni movie
mabasi kadhaa ya mbeya na singida na mengine yaendayo dodoma yamejaa watu na yanaendelea kujaa watu
kuelekea arusha muda huu kama uko ubungo njoo huku uone wanavyokimbilia kupanda
 
Je, ni kwa sababu ya shida ya usafiri kwenda mikoa ya Kaskazini kipindi hiki cha sikukuu au imekuwaje tena???

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Unaweza hisi ni movie
mabasi kadhaa ya mbeya na singida na mengine yaendayo dodoma yamejaa watu na yanaendelea kujaa watu
kuelekea arusha muda huu kama uko ubungo njoo huku uone wanavyokimbilia kupanda

haya ni ya kawaida tu bongo. shida kwelikweli.
 
Lazima kila mmoja akajioneshe alichovuna kwa mwaka mmoja. Si unajuwa wachagga wanavuna vipi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom