MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,377
Hivi hizi kodi za majengo si usumbufu tu?. Kwani si tunalipia huduma zinazo ingia Majumbani kwetu? kama vile umeme na maji. Yaani sisi wadanganyika, bila shaka tunaiga somewhere. Yaani tungekua realistic mgodi mmoja tu unao milikiwa na serekali, mfano Buzwagi ungetosha kulipia hizo kodi za majengo.