Si siri kuwa CHADEMA inauhusiano wa karibu au ni mwanachama wa Christian Democratic Parties duniani. Kuhudhuria kwa mwenyekiti wa BAVICHA katika mkutano wa CDU kule Ujerumani ni moja ya...
Nimeona nissan mach ya mwaka 97 yenye cc 990,nataka kununua kwa ajili ya usafiri wa kwenda kzn 2,naomba kujua uimara wake,na garama za cfi. Bei ya kununua ni usd 900. Je tra watabeba sh ngapi?,
Jana saa nane mchana nilipigiwa simu na mtu ambaye amejitambulisha kuwa ni omary yupo ikwiriri kwenye mradi wa kilimo kwanza nakuniambia kuwa ananifahamu kwakunitajia majina yangu vizuri...
Ili kuwa kati ya saa 6 na 7 usiku,wakati wakitokea kwenye matumizi wakiwa ndani ya gari kulikua na mabishano ndipo alipo msukuma na kudondoka chini na yeye kuondoka zake. Bahati alitoke msamaria...
Kumezuka majambazi wanaovamia hostel za wanafunzi na nyumba za watu, wanatembea wengi wakiwa na mapanga na wanavunja milango wakiiba valuable items kama laptop simu na hela polisi mko wapi muokoe...
Bonyeza Vidio
VIDEO- KIKAO JESHI LA POLISI NA VIONGOZI WA UAMSHO KWA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR | Mzalendo.netWritten by Zanzibar Moja // 24/12/2012 // Habari, Vidio // No comments...
WadauPoleni kwa maandalizi ya sikukuu za mwaka mpya na krismasi
Natafuta kampuni ambayo inashughurisha na mambo ya wood crafting,kwani kuna mashindano tunategemea yafanyike Tanzania mwezi 3 tarehe...
Hii mila imekaaje? Naona nchi nyingi sana za West Africa na hata katikati ya Africa wanayo sana.
Mtu akifa huwekwa kwenye jeneza kisha jeneza huzungushwa mitaani huku vijana wakiwa wamelibeba na...
Hekaheka kati ya Trafiki na dereva wa basi wakichapana makonde baada ya dereva wa basi hilo kutaka kufunga gurudumu ambalo Trafiki huyo aliikataa kwa madai ni chakavu.
Dereva alipoamua kufunga...
Taarifa kutoka mwanzani ni kuwa Mwandishi wa Habari wa ITV Bw Cosmas Makongo khali yake kiafya si nzuri kwa sasa kwani Vipimo vya hospitali ya Rufaaya Bugando havioneshi ugonjwa wowote...
kwa wale wenye kuielewa Bible nisaidi ufafanuzi wengine wanatwambia ni wandishi wamekosea wengine wanatwambia ni amri tumepewa sasa baadhi yetu tumechanganyikiwa hapa tusaidiane .... Deuteronomy...
Wanajf, Sote tunakumbuka Sakata la kesi la ubunge Arusha mjini jinsi taarifa zilizokuwa Zimezagaa kuhusu kuparalaizi kwa jaji aliyetoa hukumu hiyo, kwa sasa imechukua sura mpya baada ya Miongoni...
Mheshimiwa mbunge LEMA, ushindi wako ni zawadi ya wengi ya krismas na mwaka mpya. Hongera kwako, kwa wana CHADEMA ARUSHA na kwa wapenda haki wote nchini Tanzania. Napenda kutoa ushauri wangu...
::
Kila nikikutazama
Najawa na faraja
Yule aliyekuanzisha
Alijawa hekima
Akakuweka hapa
Ee jamiiforum
Kila la kheri 2013
::
Umenifanya nijivunie
Umenifanya nifikirie
Hukuniacha nizubae...
Habari zinazohusiana na uchakachuaji wa mafuta ya vyombo vya moto zimekuwa zikionekana mara kwa mara katika vyombo mbali mbali vya habari. Habari hizi zinakera kwani tuna vyombo au taasisi ambazo...
Wednesday, November 7, 2012
"KWAHERI" "KARIBU" JIJI LA ARUSHA
Mchanganuo Wa Gharama Za Uzinduzi Wa Jiji La Arusha
MCHANGANUAO WA GHARAMA ZA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA!!
1.Kikundi...