Haya sasa mishahara yenu tayari

Haya sasa mishahara yenu tayari

MULUGU

Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
35
Reaction score
12
happy new year ndugu zanguni, ila msisahau kuweka bajeti kwa ajili ya ada za watoto wenu.
 
Mkuu ada inapatikana wapi,salary yenyewe ni madeni tupu. Mishahara ya tgs sio kabisa mwana.
 
jaribu kujibanabana tu, pesa ya mshahara sio ya kulewea ama kufanyia starehe.
jiulize inakuaje wanakijiji wasio na mishahara wanaweza kumudu mahitaji yao? kwanini isiwe wewe mwenye mshahara?
 
lakini huu ni muda wa kazi jamani, inakuaje mko hapa?
kumbukeni ni haki na wajibu, huwezi kudai haki kama wewe unashindwa kutimiza wajibu wako ipasavyo.
 
Msha -ha- raaa wa laki tano na Elfu Ishirini (520,000)!!. Ada ya Mtoto mmoja laki nane na Themanini (880,000). Hii kitu hovyo....
 
Mkuu tufanyeje,hela hamna,hata raha ya kufanya kazi na ari imedidimia,xmass imepita bila kuwa na chochote mfukoni,serikali mnatuumiza!sijui hilo mnalitambua?!
 
una kichaa wewe...unanifundisha jinsi ya kutumia pesa yangu ninayoitafuta kwa jasho? njoo unsaidie kutafuta basi😱hwell:
A%20S%20angry.gif
 
hapo kwenye xmas ndio unapokosea! ratiba za sikukuu zina julikana, kwani si zipo kwenye kalenda? tatizo letu watanzania ni vipaumbele, kipi kianze, kipi ni cha muhimu na kwa wakati gani. tukianza na hapo, basi hakutakua na shida tena!
 
Cdhani kama nimekosea hata kidogo;makubaliano na ahadi serikali iliyotoa ni kuwa wafanya kazi wote wa umma wapate mshahara kabla ya tarehe 25,leo ni tarehe ngapi na bado mshahara wenyewe haujulikani;na mbaya zaidi unaweza ukaenda mpaka tarehe 5-7 ya mwezi mwingine bila hata serikaali kutoa tamko lolote.Just look on other side of the coin Mkuu MULUGU.Ingelikuwa wewe.
 
una kichaa wewe...unanifundisha jinsi ya kutumia pesa yangu ninayoitafuta kwa jasho? njoo unsaidie kutafuta basi😱hwell:
A%20S%20angry.gif
hakuna sababu ya kua na hasira ndugu, unaweza kua kichaa bure, matatizo ni mengi!
nashauri tu, namna ambayo unapaswa kufanya mutumizi sahihi hasa katika kipindi hiki, ili baadae usije elekeza malalamiko yako kwa serikali, kama ilivyo kawaida yenu wananchi. tatizo
 
matumizi gani wakati vimishahara viduchuuuuuuu
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
 
Cdhani kama nimekosea hata kidogo;makubaliano na ahadi serikali iliyotoa ni kuwa wafanya kazi wote wa umma wapate mshahara kabla ya tarehe 25,leo ni tarehe ngapi na bado mshahara wenyewe haujulikani;na mbaya zaidi unaweza ukaenda mpaka tarehe 5-7 ya mwezi mwingine bila hata serikaali kutoa tamko lolote.Just look on other side of the coin Mkuu MULUGU.Ingelikuwa wewe.
hizo ni kasoro ndogo ndogo zilizoko kwenye baadhi ya halimashauri zetu, sio tatizo la serikali kiujumla.
 
lakini huu ni muda wa kazi jamani, inakuaje mko hapa?
kumbukeni ni haki na wajibu, huwezi kudai haki kama wewe unashindwa kutimiza wajibu wako ipasavyo.

Tumekuiga wewe
 
Msha -ha- raaa wa laki tano na Elfu Ishirini (520,000)!!. Ada ya Mtoto mmoja laki nane na Themanini (880,000). Hii kitu hovyo....
ndugu lawama inabidi uzielekeze kwako wewe binafsi, taaluma yako imekusaidiaje katika kukabiliana na changamoto za maisha?
umetumiaje elimu yako katika kubuni na kujiendeleza kiuchumi kutokana na fursa tele zilizoko nchini mwako?
 
Back
Top Bottom