Hongera Odelo mwanahabari kutoka Mwanza

Hongera Odelo mwanahabari kutoka Mwanza

melimeli maganga pau

Senior Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
148
Reaction score
32
nilikuwa ninaangalia kipindi cha tuongee asubuhi star ccm tv nililifurahishwa na huyu jamaa jinsi alivyokuwa anachangia,alionga hivi nanukuu kuna hawa watu wanaitwa masprit doctors kama nape vile ambao wanaacha kujadili matatizo yanayoikabili nchi,mfano elimu,ufaulu wa mwaka huu mbovu sana mpaka max 40 wamepelekwa kidato cha kwanza kuna elimu hapo wadau?mabilioni yamefichwa uswizi,maji tabu,umeme ndio namo mbaya,ufisadi ndio unaitafuna nchi lakini yote hawayaoni sasa ili wawachanganye watu wasikumbuke nape anakuja na hoja ya kadi ya dr slaa na waandishi wa habari makanjanja tena wenye njaa na magazeti yao yalionunuliwa wanashabikia upumbavu.mwisho aliitadharisha tbc tv ambayo inaendeshwa na kodi za watanzania ambao ni umma iache tabia ya kuibeba serikali ya ccm itende haki ya umma.mwisho wa kunukuu.
 
Wewe ni muongo na mzushi Unamsingizia Charles Odero wa SAUT!!!!!!,hajasema hayo maneno ya kumhusu Nape na wala hakutaja hilo jina alichosema ni Hivi na Hasa kuhusu TBC"Chombo cha habari tena cha UMMA kama TBC kinashinda kuweka ajenda zenye kuiendeleza nchi na kuanza kujadili masuala yasiyokuwa ya msingi.ningefurahi kuona Chombo cha habari cha Umma kikifanya kazi zake kwa weledi kwa sababu inatumia kodi zetu"hilo neno Masprit Doctors alizungumza Mwendesha kipindi Dotto Emmanuel Bulendu ambaye ni Mkurugenzi wa Redio SAUT.kwa hiyo hapo ulipomtaja Nape na kusema alisema Odero si kweli na atakuja hapa baada ya muda mfupi kulithibitisha hilo.

Na ninachokiona hapa umeamua kutumia jina la Nape ili upate wachangiaji wengi kwenye hii Thread yako jambo ambalo si jema hata kidogo,sioni kama kuna haja ya kuanzisha mada kam hizi ambazo hazina tija kwa watanzania na Taifa kwa ujumla,kajipange upya.
 
Are you not his PA ?
Nitashangaa kama utakuwa ni hivi hivi tu
 
Back
Top Bottom