Jambo lilimchekesha sana rais kikwete 2012

Jambo lilimchekesha sana rais kikwete 2012

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Ni kweli wala sio tetesi imebainika bila shaka rais kIKwete alicheka sana karibu mbavu kuvunjika mara baada ya naibu waziri elimu MULUGO kutoKujua tanzania imeundwa na muungano wa nchi zipi.
 
Kilichomchekesha ni kuona kuwa kumbe kuna nazi na korona
 
source tv ya asili ya bibi yko.....
 
Alifurahi kuwa mbulula siye tu bali na mawaziri wake.
 
Back
Top Bottom