Utafiti wangu mdogo

Utafiti wangu mdogo

GNA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
246
Reaction score
72
Wanajopo utafiti mdogo nilio ufanya nimegundua, Wanaume wengi wa Kingoni wanapenda kuoa wanawake wa Kichagga, pia utafiti mwingine nilio ufanya wanawake wengi wenye asili ya Africa wanapenda kuolewa na wazungu vibabu, sijaona kwa wingi wazungu vijana kuoa mabinti weusi, tatizo nini?
 
tuanze sample space ilikuwaje? sampling area je? hypothessi zako zilikuwa zipi? methodology je? haya data analysisi ulifanya kwa kutumia kikokotoo gani? discussion yako? conclusion umeshatupa haya toa recommendations sasa.
 
Nikweli unataka kujua yote hayo ili kupima utafiti wangu hasa methodology nilizotumia questionnaire, variables ili kuuamini, lakini kumbuka tafiti inapingwa kwa tafiti, kwahiyo nivizuri ukajirithisha kwa kufanya tafiti.
 
ili niweze challenge utafiti wako lazima kwanza niyajue hayo, kisha sasa mm ndio niandae proposal nyingine kwa ajili ya ku-challenge findings zako. siwez ku-challenge findings zako bila kuwa na uhakika na yote hayo.
 
sio wangoni tu wanaopenda kuoa wanawake wa kichagga bali ni wanaume wote waliobahatika kujua strength za kabila hili.
 
Back
Top Bottom