Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kawaida mwaka unapoisha ni vyema kujitathmini jinsi Mungu alivyokuwezesha kupata mafanikio mbalimbali Binafsi nina kila sababu ya kumshukuru mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa afya njema kipindi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman laptop yangu imekua ikinisumbua sana na mara nyng nimekua nikipata msada mkubwa kutoka kwenu. My laptop nikiwasha inawaka vizuri na kudisply only front picture, ila vitu vyote havionekani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu ni mwisho wa mwaka 2012,wanaJF ni muda wa kujadiri angalau kwa sehemu ahadi za mgombea wa urais kupitia CCM 2010-2015,wakazi wa ziwa aliwahidi meri kubwa ,treni,machinga complex,zahanati za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KUSHAMBULIWA PADRI AMBROSE- SI DOGO, LAKINI ‘DAL-SEK-NED'! Written by SHAMUHUNA // 28/12/2012...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa utafiti wangu mdogo nlioofanya katika vyombo vyetu vya habari hapa tanzania hususani redio na tv nimegundua kwamba matangazo mengi ya biashara yanatumia sana lafudhi(ancent)ya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
TBC1 waendesha kipindi cha watoto na kuhasisha matumizi ya bidhaa za American Garden. Hii ni aibu kwa so called tv ya ccm!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yamebakia masaa chini ya 48 kuuaga mwaka 2012 mengi yametokea, mema na mabaya, ya kufurahisha na kutia simanzi! lete hapa tushirikishane ili yaweze kuwa kumbukumbu kwako na kwetu pia la kwangu...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Wanafunzi wapatao 807 wilayani Monduli (kwa Lowasa) wamekosa nafasi ya kujiunga na sekondari kutokana na uhaba wa vyumba 20 vya madarasa. (Source Mwananchi: Habari yenye heading 6,838 wakosa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF, tokea nipo mdogo hadi leo ni mtu mzima ninayeruhusiwa hata kugombea urais nimekuwa nikisikia idadi ya watoto waliozaliwa kwenye sikukuu za kitaifa za kiserikali na kidini. Ninauhakika kuwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau inasemekana soko la mwanjelwa linaungua na moto saiv..wadau wa uko tupeni uhakika -------- Update: - Inadaiwa ni godown lililo karibu a soko la Sido - Eneo hilo lina godown moja, la...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Kwa kuwa viongozi wetu wakiugua wanapelekwa India ili kupata matibabu zaidi, kwanini wanapohusishwa na rushwa tusiwapeleke China ili kupata hukumu sahihi pia? Just thinking aloud! Happy New Year...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mji wa moshi umejaa watu sana, kwa mtu ambaye hujawahi kufika na ukifika sasa unaeweza usielewe uhalisia wa mo town magari madogo(private cars) ni mengi hadi kupelekea trafic jam kwa maeneo mengi...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Kwa wale wanaomkumbuka mzee John Keto, aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia ya Afrika Mashariki wakati inavunjika amezikwa leo. Alifariki siku tatu zilizopita. Kuna wanaosema aliwahi kuwa mwalimu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Makavu Makavu kwa CHAKUUWAWA CHAKUUWAWA ndicho CHAma cha KUukaburu Umri wa WAtu WAzima ambacho kimeasisiwa na January Makamba na mwenzake Zitto Kabwe. 1. Hawa waasisi wa huu upuuzi walilewa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi nimebahatika kuishi Arusha, Mwanza na Dar-es-salaam . Lakini nimekulia Arusha na naomba niweke hilo wazi. Arusha ni sehemu tofauti sana Tanzania kwa mawazo yangu na kuna mengi mazuri Arusha...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Mabasi kutoka mikoani yamekwama eneo la mbezi kwa zaidi ya masaa matatu sasa. Inadaiwa kuna ajali ila watendaji wa jiji na serikali kwa ujumla bado hawajarejea kutoka kwenye sikukuu za krismas...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu Jamaa Na Marafiki Napenda Kuwaarifu Kuwa Kuna Utapeli Umezuka Kwenye Mitandao Unaweza Kupokea Email Ya Mtu Anaejifanya mkimbizi Ambae Anapesa Nyingi Kama 3.6 Usd Milion Anataka Eti UMsaidie...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Kutokana na utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya, maambukizi ya UKIMWI kwa machangudoa wa Dar ni asilimia 31.4. Makadirio ya machangudoa ni kati ya 5000 na 10,000. Machangudoa hao wamekiri kupata...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Kinondoni Afande Kenyela. Amesema mkutano huo hautambuliwi na uongozi halali wa Simba na pia jeshi la polisi halijataarifiwa rasmi. Atakayehudhuria mkutano...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…