Shedafa
JF-Expert Member
- May 21, 2008
- 802
- 176
Kwa wale wanaomkumbuka mzee John Keto, aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia ya Afrika Mashariki wakati inavunjika amezikwa leo. Alifariki siku tatu zilizopita.
Kuna wanaosema aliwahi kuwa mwalimu wa baba wa taifa (sina uhakika juu ya hili), ila Mungu amemjalia maisha si haba.
Kuna wanaosema aliwahi kuwa mwalimu wa baba wa taifa (sina uhakika juu ya hili), ila Mungu amemjalia maisha si haba.