Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 36
Kutokana na utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya, maambukizi ya UKIMWI kwa machangudoa wa Dar ni asilimia 31.4. Makadirio ya machangudoa ni kati ya 5000 na 10,000. Machangudoa hao wamekiri kupata wastani wa wateja 3 kwa siku. Hii ina maana kwamba changu mmoja anafanya kazi kwa siku 5 kwa wiki. Kwa vile kuna kadirio la kuwepo kwa machangu 7000 Dar es Salaam, machangu hao hupata wateja 15,000 kwa siku.
Tutatoka kweli?
Tutatoka kweli?