Gulaya
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 659
- 230
Wadau inasemekana soko la mwanjelwa linaungua na moto saiv..wadau wa uko tupeni uhakika
--------
Update:
- Inadaiwa ni godown lililo karibu a soko la Sido
- Eneo hilo lina godown moja, la Mhimbira; yawezekana likawa ndilo limeungua
--------
Update:
- Inadaiwa ni godown lililo karibu a soko la Sido
- Eneo hilo lina godown moja, la Mhimbira; yawezekana likawa ndilo limeungua
Nimeongea na jamaa yangu aliyepo eneo la tukio,anasema ni maghala yaliyopo Sido!


