Sisemi kwamba mfanyakazi wa ardhi hatakiwi kumiliki ardhi. Ninazunumzia tabia ya baadhi yao kujimilikisha ardhi kinyume na taratibu kutokana na kwamba wao wanakuwa na advantage ya kupata...
Licha ya Sensa kufanyika katika hali ya mazingira magumu na utata mwingi katika kuhesabu watu.
Leo Rais kazindua rasmi matokeo ya Sensa ya idadi ya watu na makazi iliyofanyika mwaka huu.
Ambayo...
Ni mgawo wa mapato mechi dhidi ya Tusker
Ashikiliwa polisi
Kamanda wa kipolisi mkoa wa Kinondoni Charles Kenyela
Zaidi ya Sh. milioni 10 za klabu ya Simba zimeporwa baada...
Hii habari imeandikwa na mdau ktk blog yetu moja maarufu.
Wadau wa Chadema, tuambizane basi :confused:
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa kuniweka hai hadi muda huu,Kwa sababu ni wengi...
1. ufisadi
2. Rushwa
3. unafiki
4. Ubinafsi wa viongozi
5. Kukosa maono kwa viongozi
Haya ni baadhi ya mambo ambayo nayaona ni kikwazo cha maendeleo, kama yapo mengine mtaongezea. Hapa nitatoa...
Mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ),kambi ya Monduli,Arusha akiwa na wabunge wa Chadema,Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki)...
Katika hali isiyo ya kawaida na utafiti uliofanywa na wataalamu wa mambo ya social network imefahamika kuwa watu wengi wameonekana ku"like" kurasa za "porns stars" zaidi ya kurasa zingine zote...
Nafurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili kama mwanachama rasmi sasa. Hapo nyuma nilikuwa mtu wa kuangalia yanayojiri hapa pasi kuwa na uwezo wa kuchangia chochote. Kwa sasa naamini ni fursa kujadili na...
NSSF Arusha kuna tabia ya usumbufu inaashiria rushwa.
Baada ya kupokea awamu ya kwanza ya fao la uzazi kabla ya kujifungua nimekuwa nikiambiwa nenda rudi ili kupewa awamu ya pili licha ya ku...
Katika kipindi cha kuperuzi ameanza kutetea kua inawezekana zile fedha tsh mil 150 zilizokua zimeibwa na majambazi kariakoo kisha wananchi kuzinusuru toka mikononi mwa majambazi na kisha...
Kutokana na mgomo wa madaktari uliotokea kati ya tarehe 23 na 29 mwezi juni 2012.Wizara iliwasilisha malalamiko kwenye Baraza la madaktari Tanganyika ili lifanye uchunguzi kuhusu madaktari hao...
Regions digital TV switch at crossroads as Kenya loses bid
IN SUMMARY
Consumer Federation of Kenya (Cofek) sought an order that the December 31 deadline for Nairobi was unreasonable and that...
Kwa wanaoangalia Futuhi watakuwa wanamjua brother K, muigizaji anayejitambulisha kama mwenyeji wa Kigoma. Hupenda kujiita tajiri wa Kigoma.
Leo hii tarehe 27 mwezi 12 nimemuona akijivunia hirizi...
Nahitaji original copy ya windows 8, anayejua bei yake aniambie na ni duka gani nitaipata kwa hapa Dar es salaam. Pia kwa wale ambao tayari wanaitumia nataka nijue performance yake pia nataka...
Katika kuonyesha kuwa Dk. John Magufuli na Raila Odinga ni maswahiba kwa taarifa nilizozinyaka na ni za uhakika ni kuwa, Mh. Raila Odinga yupo nchini Tanzania kumtembelea rafiki yake kipenzi Mh...
VYOMBO VYA HABARI KUANZA KUTUMIA MFUMO WA DIGITAL KUANZIA 2013 Vyombo vyote vya habari vinavyorusha matangazo yake kwa mfumo wa tekonolojia ya analojia nchini Tanzania, vimeagizwa kuwa ifikapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.