Wakuu nimepita Bamaga zilipo ofisi za Startimes kuna umati mkubwa nje ofisi zao ingawa bado hazijafunguliwa!
Ule umati unadhihirisha Startimes pengine ikakamata asilimia kubwa ya soko pamoja na...
Jana ilibidi nisubiri hotuba ya mwisho wa mwaezi na mwaka toka kwa Rais.Hamasa yangu kubwa ilikuwa nisikie serikali inatoa tamko gani juu kadhia inayoendelea kule kusini hasa Mtwara juu ya...
Swiss bank Wegelin to close after US tax evasion fine
Switzerland's oldest bank is to close permanently after pleading guilty in a New York court to helping Americans evade their taxes.Wegelin...
Moja ya vikwazo vinavyokwamisha maendeleo ya Tanzania ni pamoja na kukosekana kwa masomo mawili muhimu.
1. KILIMO
2. UCHUMI
1. Somo la KILIMO naona na ninaamini kuwa kama lingefundishwa kila...
Ni mara nyingi nimeona watu wanaoishi karibu na mbuga za wanyama kufukuzwa humo kwa kisingizio kuwa wanaharibu mazingira. Kitu ambacho 'wataalamu' wetu wanachokisahau ni kuwa watu hawa wamekuwa...
kama ilivyo kawaida ya ccm na vibaraka wake clouds,wamejipanga kuhakikisha wanasimamia taratibu zote za mazishi ya SAJUKI na kuhakikisha uvccm wahusike mwanzo mwisho kuratibu shughuli nzima badala...
wakati ni sasa, muda ndio huu pelekeni elimu ya uraia.kwa watanzania.
Ya kwamba tunataka majibu stahiki toka kwa watawala wa kiimla na chama cha kiimla kisichopenda kuambiwa ukweli.
ya...
Hembu fikiri singida mjini palivo padogo lakini gari la zimamoto limefika kwenye ajali ya moto baada ya masaa 2!kamanda wa zimamoto anasema eti alienda kununua matairi ndiyo maana...
The government has said that all upcountry bound buses will continue using the Ubungo Bus Terminal in Dar es Salaam until the new bus terminal at Mbezi Luis is completed.
But it has insisted that...
Hivi hawa jamaa wanamalengo gani na maisha ya watanzania? Siku ya x-mas mida ya saa tisa nilikuwa maeneo ya Quality Centre ndani ya duka moja linalouzwa vipodozi na marashi (perfums). nilipoingia...
Hivi mapendekezo ya baraza la madiwani kuifanya Chemba kuwa makao makuu ya wilaya badala ya Kwamtoro inaingia akilini kweli. Hapa kuna tatizo
Kutoka Kinyamsindo, mpendo, Takwa ni zaidi ya km 100...
*When I was a kid, Mum liked to make food for dinner & I remember one night in particular when she had made dinner after a long, hard day at work. On that evening Mum placed a plate of bread jam...
wananachi wa vunjo wanaoishi mikoa mbali mbali hapa nchini wameungana kwa pamoja na kujenga barabara kwa kiwango cha changarawe katika kata yao iliyogharimu kiasi cha shilingi za kitanzania...
jamani mimi ni mteja wa idara ya maji,nimekaa takribani miezi mitatu bila kuona bill yangu ya maji na kila nilipokuwa nafatilia ofisi za idara ya maji walikuwa wakinambia kuwa system inasumbua...
Daraja la msisi mkaa limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi mkoani singida.Kufuatia uharibifu huo magari yote yanapita ndago kazi kwako Magufuli