Kaka zile za laki tano zimeisha labda jaribu zile wizara ya kilimo na mifugo imebaki moja. By the way kuna ile mwanza airport unaweza ifanya hotel kamuone mzee Dr anaweza kukukodishaVp wao wanauza shilingi ngapi ndege zao? Nina 1m nitapata ndege mbili?
Jamaa wana bei kali -hawa jamaa fast jet hawatupii macho na Kg
Vp wao wanauza shilingi ngapi ndege zao? Nina 1m nitapata ndege mbili?
Ama kweli ndege bado anasa bongo hiyo si nauli ya dubaiIla Nafuu kuliko precision, wao ni about 450,000 while precision ni 586,000 na bado watakufaulisha Mwanza. Safari ya 2:45 unatumia hadi masaa 5.
Wanaanza tarehe 10 jan, precision wanaanza tarehe 15 jan
Vp wao wanauza shilingi ngapi ndege zao? Nina 1m nitapata ndege mbili?
Precision nao wametangaza kurudisha huduma zao Kigoma. Kwa hiyo, ATCL na Precision watakula sahani moja Kigoma!
Kaka zile za laki tano zimeisha labda jaribu zile wizara ya kilimo na mifugo imebaki moja. By the way kuna ile mwanza airport unaweza ifanya hotel kamuone mzee Dr anaweza kukukodisha