hakuna rais mwanamke tz.mtoto wa shekhe yahya

hakuna rais mwanamke tz.mtoto wa shekhe yahya

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
243
mtabiri yahya hussen jr amesema hakuna utabiri wa zaidi ya mwaka mmoja na hauusishwi na njinsia .cheo au jina la mtu.hata hivyo amedai kama kuna mtu atatabiri hivyo ni muongo. na utabiri sio campain. jamaa ni mtoto wa shekhe yahya h.chanzo redio one.
 
Muongo mkubwa,asipoangalia atamfuata baba yake huko. Je anakubalia kuwa ni mchawi?utabiri kwa kutumia majini ni uchawi na imeandikwa usimuache mchawi akaishi'
 
mcha usimucha mchawi kuishi bro umenikumbusha mbali ila mm nimeleta habar kaka .kwel mchaw ni mchaw tu
 
Du kweli mtoto wa nyoka ni nyoka kwa hiyo jamaa amerithi mikoba ya mzee wake, du ingekuwa hata kazi za professional inakuwa hivo naona hapa mjini tungepata shida sana
 
mtabiri yahya hussen jr amesema hakuna utabiri wa zaidi ya mwaka mmoja na hauusishwi na njinsia .cheo au jina la mtu.hata hivyo amedai kama kuna mtu atatabiri hivyo ni muongo. na utabiri sio campain. jamaa ni mtoto wa shekhe yahya h.chanzo redio one.

.
Mwana wa sheikh Yahya R.I.P, shkamoo. Naomba nkuulize; mkulu wa kaya alikuwa na kawaida ya kubisha hodi nyumbani hapo wakati wa uhai wa babaako. Angali bado anakuja mjini hapo?
.
 
Mkulu anao kama 32 hivi kila akienda yeye lazima aombe magwiji wamsaidie yale mambo yetu,kwa hiyo anachangayna wababe wa makabila yoote!!ya Tanzania na bila kusahau Lamu!
 
Back
Top Bottom