Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

The Nazi nurses behind the 'Super Race Children': Inside the Aryan breeding wards where boys and girls were given UV treatment if their hair turned brownLike other wartime nurses, those in Nazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sisi wananchi wa arusha tunachajiwa parking fees hata siku za sikukuu.xmas wamechaji tarehe 1.1.2013 wamechaji. leo sikukuu ya mapinduzi 12.1.2013 wanachaji.tunawaomba madiwani wa chadema na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani, nyumbani nina king'amuzi lakini kutokana na huu mgao wa waziwazi wa umeme unaoendelea imebidi niende bar kuangalia mpira kati ya MAN U NA LIVERPOOL. yaani mechi haijaisha nimesha kata laga...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wamama wajawazito katika hospital ya mkoa wa Dodoma wanalalamika kuhusu kung'atwa na kunguni,chawa na mbu.Tupo 100 na zaid ila kunavitanda 15 tu wanasema wajawazito hao kuwa wamekuwa nalala chini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nawashauri wamiliki wa ITV katika kipindi chao cha kipima joto kwa nini wasiwe na ukurasa wao hapa JF ili wadau waweze kutoa maoni yao? Nawaona wapo kwenye mitandao mingine ya kijamii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesoma katika gazeti la jambo leo la nyuma kidogo
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Nashukuru wote mlionipokea hapo Moshi December,kwa kweli nilijidai sana na wageni wangu walifurahi sana baada ya kula mtori na gali nyama choma vitu ambavyo havipo kabisa mitaa hii...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Godauni ya mazao inauzwa ina uwezo wa kuhifadhi tani 500 za mazao na ina mashine kubwa mbili ndani za kukoboa mpunga zenye uwezo wa kukoboa tani 50 kwa siku. Liko barabarani pembeni ya stendi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mwanamama makini ktk tasnia ya utangazaji hapa nchini .alipo bbc idhaa ya kiswahili na inasadikiwa kuwa yeye na tido muhando waliombwa na mkulu kuja kuborosha tbc iliyo kuwa imedoda kipindi kile...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
kwa anaejua atujuze taratibu zake zikoje. Maana mimi nimesikia jujuu kuwa huduma hutolewa.!
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Gazeti letu maarufu la Tanzania daima sijaliona kwa muda wa siku mbili yaani jana na leo. Jana sikulipata mitaa niliyotembelea,mbezi,ubungo,posta na mwenge. Leo pia sijalipata mitaani...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waziri muhongo suali langu ni kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni ndo munauasha jee kuna mgao wa umeme je kuna matatizo n y unazimwa bila ya tAarifa sasa hii hali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita nilienda kuwaona jamaa zangu ambao siku mwezi mmoja ulipita walifiwa na ndugu yao.Nilipewa ushauri na mtu wangu wa karibu kuwa kwa mapokeo ya kwao ni muhimu kwenda na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naombeni kuuliza mgawo wa umeanza tena? Maana toka jana mida na nyakati za kukata na kurudisha umeme zinafanana. Tatizo ni nini tena Tanesco?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niko safarini kwenda Arusha kwa basi la Ibra Line. Maeneo ya Korogwe kumetokea ajali ambapo mabasi mawili ya Dar-Arusha yamekwaruzana. Ni basi la Osaka lililokuwa likielekea Arusha na basi la...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mabasi yanayoitwa luxury hapa Tanzania yanashangaza. Hayana hata huduma za tofauti! Viti ni vile vile vya kubana, ukivilaza unambinya mtu wa nyuma yako! Angalau kenya ndani ya mabasi kama hayo...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ndugu zangu wanajamvi,kwanza kabisa poleni na majukumu!ktk ziara zangu za kikazi,katika mkoa huu wa Kilimanjaro,nimepata wakati mgumu sana kitekeleza majukumu yangu ya kikazi kwasababu ya tatizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…