Wana JF
Wiki hii yote nimepokea SMS nyingi kutoka kwa watu mbalimbali zikinitaadhalisha kwamba niwe makini na watu nisio wajua na kama ninawasiwasi nao, Vile vile kwamba kuna watu wanadai eti wao...
Nasikitishwa na hali inayoendelea kwa sasa hasa bandari ya Zanzibar kwa namna ambavyo baadhi meli kutoka Zanzibar kwenda Dar zile usiku na zile za Zanzibar kwenda bandari ya Pemba namna...
Jamani, jamani, jamani. Mwanafunzi mmoja wa Shule ya Sengerema Sekondari wilaya ya Sengerema Mwanza, ametumbukia chooni kisha kufariki dunia. Harakati za kumtoa ndani ya shimo la choo hicho cha...
Mwigulu Matonange (10), a Standard I pupil at Msia Primary School in Sumbawanga District, nurses wounds at Mtowisa Health Centre after an attack on February 15 in which his left arm was chopped...
Wakuu,Poleni na harakati za kutafta mkate wetu wa kila cku.
Jana,Mwenyekiti Wa WAMA alikuwa hapa nilipo.Alitoa hotuba,mwishoni akaruhusu Wanafunzi kuuliza maswali.Mwanafunzi wa mwisho kabla...
Nasikitishwa na hali inayoendelea kwa sasa hasa bandari ya Zanzibar kwa namna ambavyo baadhi meli kutoka Zanzibar kwenda Dar zile usiku na zile za Zanzibar kwenda bandari ya Pemba namna...
FastJet has achieved what it calls a milestone in just two months since its inaugural flight to register its 75,000th passenger. To celebrate the achievement, the first Pan-African low cost...
Huu ni utafiti binafsi nilioufanya kupitia mitandao mbalimbali na nikaona future ya Zanzibar inaweza kuangukia katika nchi tajwa hapa chini.
MALI
Mali ina two races kubwa ambazo zipo...kuna...
Heshima mbele wakuu.
siku chache zilizopita nilisafiri kwa basi kutoka Dar kwenda Mwanza kupitia njia ya kati yaani moro-dodoma-singida-igunga-shy then mwanza. Nilipata nafasi ya kujionea jinsi...
Nimeshangazwa na kitendo cha wahuni kuendesha mchezo wa kamari mbagala tatu tena bila woga wowote. Sina uhakika na uelewa wa kazi na wajibu wa vyombo vya usalama wa nchi hii. Inavyoonyesha hakuna...
Tajiri na mmliki wa mabasi Mzee Lushanga amefariki dunia muda huu baada ya kugongwa na hiace akiwa kwenye daladala ya baiskeli akielekea nyumbani kwake hapa mjini Geita.Mzee huyu atakumbukwa kwa...
Wakuu katika hali ya kusikitisha ya kuendelea kudorora kwa elimu ya Tanzania natamani sana serikali ibadili slogan yake ya KILIMO KWANZA iwe ELIMU KWANZA. Sina uhakika kama suala la Kilimo kwanza...
Baada wahusika kufunga viwanda vikubwa vingine kuvibinafsisha na hata kuviuza viwanda vilivyokuwa vinatoa ajira kwa maelfu ya watanzania... viwanda kama Urafiki, Ufi, Sungura, Kiltex, Mablanketi...
Nimejulishwa kuwa tetemeko la ardhi limetokea muda huu (saa 6.18 mchana) kule Kigoma, hasa maeneo ya Ofisi za Mkuu wa Mkoa. Hamna madhara yaliyotokea hadi sasa.
Greath Thinkers,
Ni ajabu sana kuona watu eti wamepata zero wanashangaa. Na hivyo hivyo ndivyo watanzania majority wanavyoamini utajiri/umaarufu n.k. ni kuua albino. Hivi huu ujinga utaisha lini...
Tanzania kuna makabila mbalimbali yenye kumtofautisha mtu mmoja na mwengine, kuna makabila yamejengwa katika mila za ubinafsi na kujithamini wenyewe hadi kupelekea kuonekana wana roho mbaya mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.