Wakuu,Poleni na harakati za kutafta mkate wetu wa kila cku.
Jana,Mwenyekiti Wa WAMA alikuwa hapa nilipo.Alitoa hotuba,mwishoni akaruhusu Wanafunzi kuuliza maswali.Mwanafunzi wa mwisho kabla hajauliza swali,Akaanza kwa kusema HESHIMA YAKO.Mama S.alimpokonya Ki sauti,akamhoji hoji na kumsahihisha.Then akamruhusu aendele kuuliza.Mwanaf.alitetemeka hakuuliza chochote cha mkutadha ule.My take is,Huyo mwanaf.alikuwa ana kosa o kosa liko kwa walimu wake ambao hakumwandaa?Also,mama S.alikuwa sahihi bila ya kupata kusudio la swali,akampokonya ki.sauti?Lastly mwanaf.alikuwa kiongozi amepigwa chini kama sehemu ya Adhabu.Na shule wako sahihi kumpiga chini uongozi?Au angechukuliwa adhabu za idi ya hiyo kwa kigezo cha kuhaibisha Shule?