Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,225
- 5,342
Tajiri na mmliki wa mabasi Mzee Lushanga amefariki dunia muda huu baada ya kugongwa na hiace akiwa kwenye daladala ya baiskeli akielekea nyumbani kwake hapa mjini Geita.Mzee huyu atakumbukwa kwa staili ya maisha yake ya kawaida ambayo amekuwa akiyaishi...licha ya utajiri mkubwa wa magari,mifugo na majumba hakuwahi kuwa na gari la kutembelea bali amekuwa akitumia usafiri wa bodaboda na daladala za basikeli katika mizunguko yake hapa mjini.Source:Mimi mwenyewe.