Titans
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 1,459
- 3,375
Huu ni utafiti binafsi nilioufanya kupitia mitandao mbalimbali na nikaona future ya Zanzibar inaweza kuangukia katika nchi tajwa hapa chini.
MALI
Mali ina two races kubwa ambazo zipo...kuna upande wa kaskazini na kusini...ule upande wa kaskazini uko kwa kiasi kikubwa kwenye jangwa la sahara na inapakana na Algeria so watu wa maeneo yale wana utamaduni na rangi za waarabu origins, pia upande wa kusini kuna black africans i mean total BLACKS..sasa Malians wale wa kaskazini wanajiona wako bora kuliko wa kusini kwa sababu tu ni weupe na wana ajenda zao nyengine.Tuaregs (whites)ni wapambanaji wanaopambana na serikali ya mali ili wajitenge na Mali..hii ni kutokana na race, wanaona wale weusi ni watu wasio bora na wanajiona wao wako bora kuliko wale wa kusini.
SUDAN,
Sudani ni big nation in Africa na pia ina two major races kuna blacks ambao wengi wapo upande wa kusini na whites ambao wengi wapo upande wa kaskazini.lakini pia katika serikali ya Khartoum kuna blacks ila katika serikali ya sudan ni blacks wachache sana wenye madaraka makubwa..kwa hiyo wale wa kaskakazini wanajiona wako bora kuliko wale wenye asili ya weusi though ni same country , na rulling class ni ya wale WHITES kina Al bashir mpaka leo hii kuna utumwa sana sudan na UNICEF ilishatoa statistics about it, na ndio maana mpaka leo kuna vita huko DARFUL to eradicate blacks blood origins.inasemekana Janjaweed wanapewa silaha na North government to kill black Sudanese hapo Darful,
CHAD
Kuanzia mwaka 2004-2010 kulikuwa na vita kati ya Northen Arabs of Chad and south blacks/Africans origins, na hii inatokana tu na udini uliopo Chad,katika chaguzi zilizowahi fanyika Chad ni kuwa kama itatokea mgombea wa North(islam) akishinda kiti then wakristu wa south wata wage war on it and vice versa, hii ilikuepo toka enzi za uhuru from France, kaskazini wanataka kujitenga kwa kuwa hawataki kuchanganyana na wakusini kwa kuwa wao wana Arab blood na utamaduni wa kiarabu zaidi ya wale wa kusini ambao ni waafrica/blacks.
MAURITANIA
Ni nchi iliyo kaskazini magharibi mwa Africa. Mauritania ina races za watu wa aina nyingi tu,kuna blacks,Arab originis,Moors (ancient greek people), mwaka 1990 kulitokea machafuko ya kiraia wakati huo wakiongozwa na jenerali mwenye asili/ukoo wa Uarabu. Waafrika wapatao 700 wa kabila la FULANI na SONINKE waliuwawa na vikosi vya serikali ambayo inaongozwa na weupe/high class morons. Huko Mauritania mikusanyiko ya weusi hairuhusiwi na ni nadra sana kufanya movements,na utumwa bado uko kwa kiasi kikubwa. Rulling class ya Mauritania are white Moors (mixture of arabs and berbers from greek) sensa ya 2011 nchini Mauritania ilipingwa vikali na wale raia wenye asili ya waafrica weusi kwa sababu serikali iliweka kipengele cha kutaka kuthibitisha uraia wao wa Mauritania lakini kwa wale wenye rangi nyeupe hawakuwekewa hivo vipengele,maandamano yalifanywa na weusi dazeni walipigwa risasi na kufa papo hapo.
ZANZIBAR
Zanzibar kama wengi tunavoijiua iko katika harakati za kudai uhuru/kujitenga na Tanganyika, ni kuwa Tanganyika inabana maendeleo yake kiuchumi na kuharibu tamaduni za Zanzibar kama inavodaiwa, races in Zanzibar collectively kuna blacks/bantu origin people na Arab descendent blood people, kwa sasa naweza kuwa sijui kama kuna tofauti ya kimadaraka kati ya haya matabaka mawili,ila kwa historia niliyoionyesha hapo juu ya nchi hizo na matabaka ya namna hiyo sintoshangaa ikafika Zanzibar wakati wakiwa huru from Tanganyika, kuna class itatokea kusema wao ndio wako juu ya wenzao na watake kuwatawala wenzao, mfano ukitembelea mzalendo.net utaona comments za baadhi ya watu kuhusu Wabara, wanawaita ni watwana, wasiojua kunawa, wasioenda jando na wanyamwezi(wamewatenga wazenji wabantu hapa), mahausgal, watu wasio na ustaarabu. YALEYALE ya nchi nilizotaja hapo juu, kwa hiyo kwa wale wanaopigania uhuru wa Zanzibar wawe pia wanawaza haya yanayoweza tokea,ikumbukwe hata miaka ya 1960 kulikuwa na kushutumiana kati ya Karume na wale ZNP wakituhumiana ni vibaraka wa Oman (whites)na Tanganyika (Karume and blacks) respectively. Wakati wa mapinduzi inasemekana wazanzibari wenye asili ya uarabu 4000-10,000 waliuwawa au kupotea katika mazingira ya kutatanisha katika utawala wa Karume.
Nchi zipo nyingi tu kama Yemen, Angola, Mozambique and many more zenye mambo kama haya.
Sources
Imamu apigwa mapanga – Kidoto Zanzibar | Mzalendo.net
Zanzibar Revolution - Wikipedia, the free encyclopedia
I researched and had a right to say