malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,639
Wana JF
Wiki hii yote nimepokea SMS nyingi kutoka kwa watu mbalimbali zikinitaadhalisha kwamba niwe makini na watu nisio wajua na kama ninawasiwasi nao, Vile vile kwamba kuna watu wanadai eti wao ni waislam na wako tayari kufanya mauaji ya mtu mkubwa wa kidini na baadhi ya watu ktk mikoa ya Kigoma, Tabora, dodoma na morogoro. Mimi ninasema msinitishe anayetaka kuua kwa kawaida huwa hatoi tangazo wala taarifa sasa kama unataka kutuua sisi tufanyeje? kwenda zako mshenzi na mpumbavu usitake kutugombanisha Sisi, eti nikiwaona waislam nikae nao mbali we huna akili na ni mjinga fanya mambo ya maana na sio kutisha na kuchonganisha watu. Kwa taarifa yako kama wewe ni mkristo unataka tu kuchanganya habari ni Mshenzi tu! na kama wewe ni muislam na wewe ni mshenzi tu. UNAJUA kwa sisi watanzania kuuana eti kwa sababu ya dini uislam na ukristo haipo na haitakuja tokea, Ngoja nikuambie kisheria ya dini muislamu kumuoa au kuolewa na mkristo ni makosa na mkristo kumuoa au kuolewa na muislamu ni makosa kwa mujibu wa dini na sheria zake. NGOJA NIKUPE SIRI wewe usie na akili. Sheria sinasema hivyo, Mimi ni mkristo lakini ninakaa kwenye nyumba muislam bila ya shida yoyote, Dada yangu mimi ameolewa na muislamu na wajomba zangu ni Waislamu wanakaa kwangu wanakula na ninawasomesha na hakuna shida yeyote. Huu ni mfano mmoja tu ipo mingi ndugu zangu watanzania wanaotaka kutugombanisha ni hawa wajinga wachachetunaowafumbia macho na ni kutiana Hofu na hasira Hakuna kitu chochote.
Ndugu watanzania kueni macho hizi ni hila za watu wasiotutakia mema, hawa ni watu wenye uchu wa kumwaga damu Tusiwakubali watimize matakwa yao tuwapinge na kuwakataa.
Nawasilisha.