Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MREMBO aliyewahi kupamba video kadhaa za wasanii wa Bongo Fleva ukiwemo wimbo wa Kidato Kimoja ulioimbwa na J.I, anayekwenda kwa jina la Maya Silemwe, amedaiwa kumtelekeza mwanaye wa kumzaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
They say a picture speaks 1000 words. This cartoon sums up our country with outstanding clarity. Among the best cartoons I have seen.
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Lile blog kutoka Visiwani linalojiita kama "The Mouth of the South" - yaani Zanzibar ni Kwetu leo liliicharaza kampuni ya maji ya Dawasco kwa kuandika kwenye page ya mbele kabisa ya blog hilo kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana jimbo la kinondoni tusaidiane hapa, Hivi huyu mbunge wetu wa kinondoni kazi yake ni nini? Maana maadui ujinga umasikini na maradhi vinazidi kutanua mbawa katika jimbo letu alafu yeye...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf..hivi sisi watanzania nini hatma ya nchi yetu?Umeme bei imepanda kukatika ndio usiseme,vyakula bei juu, hospital rushwa imetawala kila kona,elimu mbovu,hata burudan na taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kituo cha Al-Jazeera Islamic Center kimekanusha vikali tuhuma zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania,Shekh Ramadhan Salum Mazige amesema kuwa habari hizo ni za uzushi na pia wamelipa gazeti la...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Gari ya Steve iliyopata ajali Gari iliyogongwa na StGari ya Steve iliyopata ajalieve Movie mpya ya Msanii wa kuigiza sauti za Viongozi Stive Nyerere, iliyokuwa ianze kurekodiwa leo imeingia...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba mnijulishe uzuri wa king'amuzi cha continental kwa mnaokitumia,bei yake,malipo yake na channel zake japo kwa uchache.Kwenu wana JF.
0 Reactions
20 Replies
7K Views
nimeishuhudia LIVE leo mchana maeneo ya hale mbele kidogo ya Segera kama unaelekea tanga ambapo askari wamebuni mbinu mpya ya kuchukua rushwa kuyoka kwenye magari...ni kwamba anampa konda au...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama mtanzania naomba uchukue wiki hii kuomba mungu airehemu nchii hii na adhabu ya kisukari wapendwa ugonjwa huu uchagui yaani kuanzia rika zote na kama uamini nenda makutik pemben uone vijana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
“Look at me, I am not the person who needs a third term. I don’t need it. I don’t do this job I am doing as something that benefits me, it is not how I do business, it is not me. Let’s not...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna chuo kikuu kipya maeneo ya kimara kinaitwa Tanzania International University ambacho kimetangaza nafasi kibao za kazi, na watu watakaoitwa kwenye usahili inabidi watumbukize kwanza elfu20...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa zilizo rasmi, watu wanne wamekamtwa wakiwa na kadi 150 za ATM kwenye benk ya NMB Tukuyu Mbeya na tayari walishatoa Milioni 20. Teknologia inatutafafuna watanzania
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Jamani ninaomba msaada nitangalia wapi matokeo ya unganda nina kijana wangu kasoma huko, sasa nataka kuangalia matokeo yake basi ninaomba msaada kwa yeyote anayejua namna ya kuyapats
0 Reactions
3 Replies
2K Views
On 24th November 2011, in the afternoon after I had come home from school, I found myself taken to hell by the LORD to be shown various things. This is not the first time I have been taken to...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MAOFISA wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamekubali kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evaristus Mushi yaliyotokea Zanzibar Februari 17, mwaka huu. Kwa mujibu wa habari za kuaminika...
9 Reactions
217 Replies
23K Views
Viini macho au mazingaombwe ni elimu, utundu au uchawi? Nipeni uzoefu wenu katika hili nina kiu sana ya kujua!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu 54 wanaodaiwa kuwa wafuati wa Sheikh Ponda wana kesi ya kujibu! Source: Taarifa ya habari ITV
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kamatui ya Mudhui ya Uandishi na Utangazaji ya Mamlaka ya Mawasialiano Tanzania (TCRA) imechemka kwa kuzifungia redio za dini kwa uoga na kutaka kubalance mambo kwa kutumia siasa uchwara. Mfanio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MH.sana Raisi kikwete ni Raisi pekee aliye hudhuria mazishi ya baba wa Raisi mseveni hongera kwa kudumisha kawaida yako.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom