Kipya kinyemi!Bado hakipo, hao jamaa sijui wanafanya nini! Startimes wanapeta tu wao wamelala! Kama kuna muhusika humu awaambie wakuu wake waache ujinga tumeichoka Startimes, wafanye haraka kuingia sokoni! watu wanapigika
Naomba mnijulishe uzuri wa king'amuzi cha continental kwa mnaokitumia,bei yake,malipo yake na channel zake japo kwa uchache.Kwenu wana JF.
Bado hakipo, hao jamaa sijui wanafanya nini! Startimes wanapeta tu wao wamelala! Kama kuna muhusika humu awaambie wakuu wake waache ujinga tumeichoka Startimes, wafanye haraka kuingia sokoni! watu wanapigika
hiv vya startmz vinaproblem? Yani havifai bora kutokuwa nacho kabisa hawa jamaa hakuna kitu ngoja tuangalie hawa continental na hicho cha digtek...
Yaani mi nimeacha kulipia kabisa, manake ujinga mtupu nabaki naangalia taarifa ya habari tu kwny hizo TV zao tano! Yaani inakera mpaka basi
labda vitakua poa.hiv vya startmz vinaproblem? Yani havifai bora kutokuwa nacho kabisa hawa jamaa hakuna kitu ngoja tuangalie hawa continental na hicho cha digtek...
Kamata digitec
digitek vinapatikana wapi na kwa bei gan?Kamata digitec