Cartoon ya Kipanya 2/26/2013

Cartoon ya Kipanya 2/26/2013

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,729
4d8c9898b5bb88437f053c8b957f47f3_L.jpg

They say a picture speaks 1000 words.
This cartoon sums up our country with outstanding clarity. Among the best cartoons I have seen.
 
Kasoro yake tu ni kwamba huyo ndege LAZIMA aende chini! Lakini sitaki kuamini kweli tumefikia hapo. Bado kuna tumaini!
 
Huyu Masudi anatukatisha tamaa, anamaanisha kinachofuata ni kudondoka kwa maana ya kuanguka kwa Tanzania.
 
Yaani kanyonyolewa juu kwa juu hii kweli kali aiseee
 
Yaani kabaki uchi ndiyo anaelekea kutua & kufa.
 
Kasoro yake tu ni kwamba huyo ndege LAZIMA aende chini! Lakini sitaki kuamini kweli tumefikia hapo. Bado kuna tumaini!

Mkuu bado huamini!
Nchii hii ulitegemea tungefika mahali kuna vita live ingefika ya waislamu na wakristo hadi mchungaji kuuawa kwa mapanga! bado huamini tu? .....
Nilimsikia shehe mmoja toka Zambia, alitunanga sana watanzania kuwa tumerudi mno! wao hawana kabisa udini Zambia anashangaa Tanzania umetia nanga!!
 
big up kp njiwa yu tayari kuliwa na kuna mijamaa mimate inawatoka inataka adondoke
 
Huyu Masudi anatukatisha tamaa, anamaanisha kinachofuata ni kudondoka kwa maana ya kuanguka kwa Tanzania.
ndo maana yake! Kama manyoya yote yamenyonyoka wewe unafikiri kitafuata nini!? Huyu ndege bado hajakata tamaa, huenda yakaota tena akiwa angani!!
 
Angewaweka wawekezaji hapo chini wakiwa na visu vyao tayari kugawana maliasili zetu!
 
anamaanisha kuwa tayari mazuri yameanza kutokea.....tujiandae kula matunda ya maendeleo na kuyaendeleza.yaani matokeo ya shughuli na mapokeo yake
 
Mwaka 1961 Manyoya mapya mwendo mdundo, Mwaka 2011 manyoya hakuna tena ghafla tukiwa juu sana sasa hivi tunasubiri ANGUKO NA KUPASUKA VIPANDE VIPANDE. ".....I believe I can drope......." Lakini 1961 ilikuwa Tanganyika.
 
Weka mbali na bata. samahani tembo!
 
Huyu Masudi anatukatisha tamaa, anamaanisha kinachofuata ni kudondoka kwa maana ya kuanguka kwa Tanzania.

Na ndio maana yake Mkuu! Tunu zilizokuwa zinatuunganisha wa-Tanzania kuwa wamoja bila kujali Dini wala Kabila zimenyonyolewa na wanasiasa wetu kwa maslahi yao binafsi, sasa wewe unatarajia nini? Mfano tu: Hivi wewe uliwahi kufikiria kuwa ktk Tanzania yetu swala la kuchinja tu linaweza kugharimu damu ya m-Tanzania??? Tafakari!
 
Back
Top Bottom