Wafuasi wa Sheikh Ponda

Wafuasi wa Sheikh Ponda

md4doctor2000

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
736
Reaction score
315
Watu 54 wanaodaiwa kuwa wafuati wa Sheikh Ponda wana kesi ya kujibu!

Source: Taarifa ya habari ITV
 
Nani alitarajia wameenda kutalii mahabusu?
 
Ponda akome kuchezea mfumo ........ana taarifa kuwa redio iman imefungiwa miezi 6
 
Duh! Jirani yangu mmoja muuza matunda ni mmojawapo, huku home matunda yanaoza na familia inasota ile mbaya...
 
Back
Top Bottom