kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,069
Kuna chuo kikuu kipya maeneo ya kimara kinaitwa Tanzania International University ambacho kimetangaza nafasi kibao za kazi, na watu watakaoitwa kwenye usahili inabidi watumbukize kwanza elfu20 kwenye account ya chuo! Hivi jamani hii ni sahihi? au kwa vile mi sio mzoefu wa mambo haya ya interview?
Source: mapokezi ya chuo.
Source: mapokezi ya chuo.