Uchaguzi 2015

Uchaguzi 2015

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Mungu ibariki tanzania yangu, nchi yangu yenye neema tele lakini mmmh, embu nambie unapeleka wapi utabiri wako katika uchaguzi wa 2015, kwa majimbo ambayo una uhakika chama cha cdm wataendelea kubaki nayo na ambayo wanaweza kuyanyakua, vile vile kwa ccm pia, wanaweza kuchukua majimbo gani mapya na kuyapoteza yapi? Kwa mfano jimbo kama la moshi mjini ccm wasahau kulichukua na pia jimbo kama la filikuchombe pia chadema wasahau, embu tiririka sasa
 
Back
Top Bottom