Siku ya mazingira Afrika

Siku ya mazingira Afrika

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2009
Posts
3,517
Reaction score
1,367
Katika kusherekea siku ya Mazingira Afrika wafanyakazi wa ikulu "wamefanya usafi" kwenye maeneo yanayozunguka Ikulu.

Nadhani inmgekuwa bora wangeenda Sokoni kariakoo, Ferry Fish Market, etc kufanya usafi maana eneo wanalofanya usafi ni kama lilisafishwa toka mapema.

Picha kwa hisani ya: michuziblogspot

us7.jpg




us3.jpg
 
Back
Top Bottom