Upi kati ya LAPF na PSPF

Upi kati ya LAPF na PSPF

M CM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
2,498
Reaction score
1,485
Heshima kwenu nyote
Hivi jamani naombeni mnisaidie kwamba ni mfuko upi mzuri kwa mafao ya uzeeni wa kujiunga kati ya LAPF na PSPF
Ushauri wenu ni muhimu sana karibuni
 
Najua LAPF wamejipanga mwaka huu,wamepeleka vijana nchi nzima kwa ajili ya kutoa maelekezo kwa walimu wa ajira mpya ili wajiunge na mfuko.

Ni bora upitie mitandao na vipeperushi vyao hao wote. Ila wote niwezi tuu kwa wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom