Moshi vijijini: wilaya yenye utofauti kidogo na nyingine.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moshi vijijini: wilaya yenye utofauti kidogo na nyingine..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kiwatengu, Feb 18, 2013.

 1. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,099
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  Nimebahatika kufika na kuishi wilaya zaidi ya 19 za Tanzania bara! wadau, hii wilaya ya moshi vijijini iko tofauti sana, kimaendeleo japokuwa mazingira yake mengi ni ya vijijin..kama umefika dhibitisha hapa..
  Kwa sasa Tandahimba is my lovely district
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2013
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,864
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Utofauti gani? Moshi Vijijiji weye ulienda wapi??

  Kuna milimani na lowlands!

  Nalofahamu nimeambiwa over 80% ya nyumba zina umeme!

  Changanua utofauti ukilinganisha na Tandahimba!!
   
 3. m

  mojaone Senior Member

  #3
  Feb 18, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu una agua watu au una issue gani???wilaya 19???
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2013
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,736
  Likes Received: 2,281
  Trophy Points: 280
  Kilimanjaro yote ina maji,shule za sekondari,umeme barabara za lami isipokua maeneo ya same vijijini
   
 5. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2013
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Unautani na wale watu wafupi wewe!
   
 6. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2013
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  sasa ulitaka yawe ya kimjini au??

  kuna shule za kutosha, chuo cha ualimu, hospitali kubwa ya kilema, barabara za lami, maji salama, matawi ya benki, chani kiwiti, hali ya hewa safi,

  hebu sema tandahimba kuna nini?? kutoka masasi mpaka tandahimba washaweka lami?
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2013
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 10,767
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  msiwe wapuuzi kushangilia thread kama hizi zina madhumuni ya kuleta ulalamishi wa kuwa sehemu fulani zimependelewa bila kuangalia kama kuna input ya wakazi wa sehemu husika!
   
 8. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2013
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,143
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  I LOVE MY ROMBO!!! Huangaiki na Huduma za Benki,maji, umeme full.... Hasa maeneo ya MKUU
   
 9. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2013
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,143
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  wivu au
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  hiyo ni kwa ajili ya kazi kubwa iliyofanywa na ccm
   
 11. Dj mat

  Dj mat JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2013
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 60
  Mbona wasifanye kwingine?
   
 12. Nahonyo

  Nahonyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 2,762
  Likes Received: 1,056
  Trophy Points: 280
  Ndo maana baada ya kugundua laslimali na mali zao, zimenufaisha watu wengine kuliko wao. Watu wa Mtwara sasa, wameadhimia kuwa hawataki tena utani juu ya lasmali zao.Kumbe nyie serikali hii ya CCM imeweletea maendeleo hivo, na leo mmewageuka. Kweli ukiowa mchaga ukiwa pesa jiandae na kifo. Wachaga wanaongoza kwa ufuasi chadema, siku moja msije tuambia chama cha mko wa kirimanjaro Arusha
  Kutokana ubinafsi wenu.
   
 13. Nahonyo

  Nahonyo JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 2,762
  Likes Received: 1,056
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona mnahamia CDM mmeahidiwa nini, mpaka mnawasaliti waliowaletea maendeo.
   
 14. v

  vitus marandu Member

  #14
  Feb 18, 2013
  Joined: Dec 18, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rombo ni jamhuri ya kipekee.ndio wilaya pekee itoayo usafiri wa moja kwa moja kwenda nairobi, dar, tanga mjini, karatu, singida, arusha, mombasa, n.k. Kwa sasa tunataka usafiri wa ndege, kwa hiyo karibuni wawekezaji.
   
 15. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2013
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mmmmmh! Mkuu sehemu gani? Karibu kwetu kijijini Maharo-Mkuu! Lol!
   
 16. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2013
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  nenda shule itakusaidia angalau kuwa na upeo wa kunyambulisha mambo.
   
 17. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2013
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,864
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wachaga hawajapendelewa ni jembe ni wachapa kazi, wasomii na watafutaji pesa!

  Kama walivyo Wakikuyu Kenya na Waisraeli duniani!

  Ni chachu kuleta maendeleo sehemu zingine za Jamhuri!
   
 18. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,099
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  Makupa acha uongo! ccm ni wezi, kazi yao ni kuiba na kuharibu..
   
 19. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,099
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  Si agui mkuu, nafanya shughuli binafsi! kuna watu wameishi zaidi ya hizo.
   
 20. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 14,099
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  Mkuu huko rombo lami si mmeekewa juzi juzi tu? rombo sijafika, ila nasikia baada ya Same, Rombo ndio inafuatia kwa uduni..
   
Loading...