babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
Wafanyakazi wawili wa hoteli ya
Peacock wameithibitishia mahakama
ya hakimu mkazi Kisutu jinsi
walivyozihakiki fedha za mtego za
Taasisi ya kuzuia na kupambana na
rushwa (TAKUKURU) ,alizokutwa
nazo mbunge wa Bahi mkoani
Dodoma Mheshimiwa Omari Badwel.
Source ITV
Peacock wameithibitishia mahakama
ya hakimu mkazi Kisutu jinsi
walivyozihakiki fedha za mtego za
Taasisi ya kuzuia na kupambana na
rushwa (TAKUKURU) ,alizokutwa
nazo mbunge wa Bahi mkoani
Dodoma Mheshimiwa Omari Badwel.
Source ITV